Aif Tunadalizi mashuka jumla a lejalejan

05/04/2020
Vp mambo wadau siku zote mbuyu umeanza K**a mchicha  lakini mchicha auwezi kuwa K**a mbuyu ndio maana nashangaa wanaokom...
05/04/2020

Vp mambo wadau siku zote mbuyu umeanza K**a mchicha lakini mchicha auwezi kuwa K**a mbuyu ndio maana nashangaa wanaokomenti matusi mi naona ni saa mbovu2.

Habari zenu karibuni Sana pata mashuka Bora kwa Bei nafuu.
04/04/2020

Habari zenu karibuni Sana pata mashuka Bora kwa Bei nafuu.

Habari siku zote dawa ya mtu mwenye roho mbaya ni maendeleo 2.
04/04/2020

Habari siku zote dawa ya mtu mwenye roho mbaya ni maendeleo 2.

Habari zenu siwezi kumaliza maneno yote naweka na ya kesho kumbuka mwenye macho ambiwi tazama mwenyewe karibuni Sana.
02/04/2020

Habari zenu siwezi kumaliza maneno yote naweka na ya kesho kumbuka mwenye macho ambiwi tazama mwenyewe karibuni Sana.

Ha ha habari ndio hiyo pata mashuka Bora sio Bora mashuka tupa mbaali malonyalonya
01/04/2020

Ha ha habari ndio hiyo pata mashuka Bora sio Bora mashuka tupa mbaali malonyalonya

Habari ndugu zangu pata shuka pambe kwa wote wanaopenda maendeleo ya watanzania wenzao aif inawakaribisha wote wenye mio...
20/03/2020

Habari ndugu zangu pata shuka pambe kwa wote wanaopenda maendeleo ya watanzania wenzao aif inawakaribisha wote wenye mioyo Safi hata na wale wenye visokolokwinyo tutawaudumia wote ulipo nasi tupo.

Habari zenu wapendwa kwanza namshukuru mungu kwa kuiona siku ya leo ameen karibuni Sana aif siku niema!
12/03/2020

Habari zenu wapendwa kwanza namshukuru mungu kwa kuiona siku ya leo ameen karibuni Sana aif siku niema!

Aif inawatakia maisha mema na yenye amani na mbarikiwe wote !
12/03/2020

Aif inawatakia maisha mema na yenye amani na mbarikiwe wote !

Assalam alaykum waislam wenzangu nawe nzetu pia bwana yesu asifiwe siku zote maisha ni safari mi,bado sijafika namuomba ...
12/03/2020

Assalam alaykum waislam wenzangu nawe nzetu pia bwana yesu asifiwe siku zote maisha ni safari mi,bado sijafika namuomba mungu atujalie kwenye safari yetu hi ya maisha iwe yenye amani na mungu atubariki sote ameen

Address

Yombo Dovya
Dar Es Salaam
071317

Telephone

+255713178921

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aif posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share