Billionaire Online Shopping Mall

Billionaire Online Shopping Mall Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Billionaire Online Shopping Mall, Clothing (Brand), Dar es Salaam.

Karibuni nyote. Tunauza Nguo za aina mbalimbali za k**e Na kiume pamoja Na Jezi.
11/09/2022

Karibuni nyote. Tunauza Nguo za aina mbalimbali za k**e Na kiume pamoja Na Jezi.

Karibuni Wateja Wetu. Magauni yapo, vitenge vipo. Kwa Wateja wa Dar es salaam tunaleta mzigo mpaka mlangoni na na mikoan...
07/09/2022

Karibuni Wateja Wetu. Magauni yapo, vitenge vipo. Kwa Wateja wa Dar es salaam tunaleta mzigo mpaka mlangoni na na mikoani Tunatuma. Kwa Dar malipo baada ya kupokea mzigo Na mikoani unalipa Ndio Tunatuma mzigo. Karibuni Sana. 0621532098 na 0783185832

Karibuni Wateja Wetu, 0783185832 na 0621532098. Tunauza Jezi Na Nguo zaa aina mbalimbali. Mashuka, maduveti, wallet, mik...
05/09/2022

Karibuni Wateja Wetu, 0783185832 na 0621532098. Tunauza Jezi Na Nguo zaa aina mbalimbali. Mashuka, maduveti, wallet, mikanda Na boxer's, Na Mikoba ya k**e. Magauni Na vitenge.

Karibuni Sana Wateja Wetu, tunauza vitu vifuatavyo. Whatsapp 0783185832 Kawaida 06215320981. Duveti2. Jeans3. T-shirt4. ...
01/09/2022

Karibuni Sana Wateja Wetu, tunauza vitu vifuatavyo. Whatsapp 0783185832 Kawaida 0621532098
1. Duveti
2. Jeans
3. T-shirt
4. Kadeti
5. Mashati
6. Makoti ya jeans
7. Vitenge
8. Pensi za kiume Na k**e
9. Track za kiume Na k**e
10 Mikoba ya k**e na kiume.
Vyote hivi unavipata kwa Bei ya punguzo la 10%.
Kumbuka, kwa Wateja wa Dar es salaam tunaleta Mpaka Ulipo Na Mikoani Tunatuma, mzigo unafika uhakika Na Ni uhakika Tena. Karibuni Sana Wateja Wetu wapendwa.

Karibuni Sana. Tunauza Mavazi ya k**e Na ya kiume. Neti za majumbani.Mashuka.Mikoba ya k**e. Tuagize Leo Popote Ulipo tu...
19/08/2022

Karibuni Sana. Tunauza Mavazi ya k**e Na ya kiume.
Neti za majumbani.
Mashuka.
Mikoba ya k**e.

Tuagize Leo Popote Ulipo tunaleta mzigo wako. Dar es salaam usafiri Ni bure Na mikoani unaghalamia nauli. Karibu Sana tukuhudumie.

Jezi za Timu Zote, ulaya Na Africa zinapatikana. Karibuni Sana
14/08/2022

Jezi za Timu Zote, ulaya Na Africa zinapatikana. Karibuni Sana

Tunauza Nguo za aina mbali mbali, za umri na lika zote, za Jinsia Zote. Tunapatikana Dar es salaam Tz. Mikoani Tunatuma,...
04/08/2022

Tunauza Nguo za aina mbali mbali, za umri na lika zote, za Jinsia Zote. Tunapatikana Dar es salaam Tz. Mikoani Tunatuma, nunua Nasi Leo Popote Ulipo ndani Na nje ya Tanzania.
Namba: 0783 185 832 au 0621 532 098 Piga au Whatsapp.

Kadeti size zote na rangi zote zinapatikana. Bei: 18,000/=Mahali: Dar Es SalaamMikoani: Tunatuma kwa Bei hiyo hiyo ila u...
23/06/2022

Kadeti size zote na rangi zote zinapatikana.
Bei: 18,000/=
Mahali: Dar Es Salaam
Mikoani: Tunatuma kwa Bei hiyo hiyo ila usafiri Ni juu yako.
Simu: 0621 532 098

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Billionaire Online Shopping Mall posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share