07/08/2022
Karibu ujipatie sidiria nzuri na mpya kwa ajili ya biashara au kwa matumizi binafsi.
Bei zetu zinalenga kumuinua mtu yeyote anayetamani kujipatia kipato binafsi lakin hajui ni wapi aanzie. Tunatoa pia ushauri juu ya namna ya kupata mtaji na namna ya kuanza biashara.