Greatfullheart looks and beauty

Greatfullheart looks and beauty Unapata shida kulekebisha ngozi kutoa chunusi makovu michilizi . Kukuza nywere na kadhalika.

28/03/2026
27/03/2026

Habarini 🧴 Matumizi (How to use)
Osha uso kwanza (cleanser)
Tumia toner k**a unayo
Kisha pakaa kiasi kidogo cha cream usoni
Tumia asubuhi na usiku
Asubuhi hakikisha unaweka sunscreen juu yake
👉 Inafaa kwa:
Ngozi yenye chunusi (acne)
Ngozi nyeti (sensitive skin)
Ngozi yenye ukavu au irritation
🧪 Ingredients (Vitu vilivyotumika)
Kutoka kwenye boksi la hiyo cream, baadhi ya ingredients muhimu ni:
Niacinamide – husaidia kung’arisha ngozi na kupunguza mafuta
Panthenol (Vitamin B5) – hutuliza na kuhydrate ngozi
Centella Asiatica Extract – hupunguza uvimbe na kuponya ngozi
Hyaluronic Acid (Hydrolyzed) – huongeza unyevu (moisture)
Hibiscus Flower Extract – antioxidant, husaidia ngozi kuwa fresh
Evening Primrose Flower Extract – hutuliza ngozi
Corallina Officinalis (algae extract) – huimarisha ngozi
Gardenia Florida Fruit Extract – hupunguza irritation
Lavandula Angustifolia (Lavender) – hutuliza na kutoa harufu ya asili
👉 Pia imeandikwa:
Haina artificial fragrance
Inafaa kwa all skin types
✨ Faida zake kwenye ngozi
Hutuliza ngozi iliyowashwa au yenye redness
Husaidia kupunguza chunusi na makovu yake
Huweka ngozi laini na yenye unyevu (hydrated)
Husaidia kusawazisha rangi ya ngozi (brightening)
Huimarisha skin barrier (ulinzi wa ngozi)
Inafanya ngozi ionekane healthy na glowing
⚠️ Tip muhimu
K**a una ngozi nyeti sana, jaribu kidogo kwanza (patch test)
Usitumie kupita kiasi—kidogo tu kinatosha

14/12/2025

Hii hutoa chunusi upele Hufanya ngozi ku grow process huchukua week Ila matokeo ukianza kuona huto jutia maamuzi yako ni kwa ngozi zote karibu

15/12/2024

K**a unashida ya nywere kukatika kudumaa kuto refuka kichwa kuwasha mba na ukoko kwenye kichwa BAsi hizi serum zinakuhusu

10/11/2024
Karibuni jumla lejaleja pia Kwa catorn nauza
17/07/2024

Karibuni jumla lejaleja pia Kwa catorn nauza

05/03/2024
04/02/2024

Best selling products

Ukitaka kubadili mtazamo wa ngozi BAsi jitahidi sana kutumia vitu Visio na madhara hasi kwako sheet mask ni best na nzur...
03/02/2024

Ukitaka kubadili mtazamo wa ngozi BAsi jitahidi sana kutumia vitu Visio na madhara hasi kwako sheet mask ni best na nzuri kuliko facial mask zote unazo zijua kuna vitu vingi muhimu unavipata Kwa kutumia sheet mask mengi utayajua kupitia looks and beauty

Address

Mbezi
Dar Es Salaam

Telephone

+255626653188

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Greatfullheart looks and beauty posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Greatfullheart looks and beauty:

Share