18/06/2024
Ndugu wapendwa wateja, tumeshusha mzigo mpya wa Pull Over Sweater kalii🔥 za mtumba grade one 🙌
ikiwa na punguzo la bei kwa 15,000/=Tu🥶
Msimu huu wa baridi🥶 , karibu tukupendezeshe kwa bei nafuu na Pull over Sweater kalii kutoka kwetu
Wahi mapema, mzigo upo mchache sana dukani na ni mtumba, ngumu sana kujirudia.
Tunauza jumla na rejareja, karibu utengeneze kipato kupitia bidhaa zetu bora Mtumba Grade One🔥🔥🥂
Boss kasema ukinunua pieces 5 unapata moja FREE.
Achana na mawazo ya umbali , wewe tupigie
kupitia namba 0754742532, nasi tutakuletea sweta popote pale ulipo ndani ya dar na mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa 🚚🙏
Duka letu lipo barabarani kabisa📍 ubungo external opposite samaria hotel au unaweza Search "Cotton Street " bolt au Google Maps