Nelson collection's

Nelson collection's be the best new version for you
0620 693 505

Tusimame himara katika kristo  β›ͺπŸ•ŠοΈ tuyafanye matendo yenye kuleta mambo matatu muhimu katika kristo, Amani, Furaha na Up...
14/04/2024

Tusimame himara katika kristo β›ͺπŸ•ŠοΈ tuyafanye matendo yenye kuleta mambo matatu muhimu katika kristo, Amani, Furaha na Upendo.πŸ™πŸ½ jumapili njema.

19/03/2024

Ni mtoto tu au hata mtu mzima ukisimama lazma upepesuke (kizunguzungu) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hizi changamoto hufanya tunaonekana k**a tunaendesha vyombo vya moto tukiwa tumelewa au ni leners...
19/03/2024

Hizi changamoto hufanya tunaonekana k**a tunaendesha vyombo vya moto tukiwa tumelewa au ni leners...

Wewe ndo mhudum lodge umeingia kufanya usafi unakutana na tukio hiloπŸ‘‡πŸ½  😳😳
15/03/2024

Wewe ndo mhudum lodge umeingia kufanya usafi unakutana na tukio hiloπŸ‘‡πŸ½ 😳😳

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Imefanana na ile yangu😲😲😲😳😳
13/03/2024

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Imefanana na ile yangu😲😲😲😳😳

12/03/2024

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ just two children => ( 3 girl, 3 boys?) Only six children😘πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯° i feel very special

Nawatakia happy valentine day, wanapenda❀sana piaKaribuni sana katika page yangu tuzidi kupeana support ya Biashara, hab...
14/02/2024

Nawatakia happy valentine day, wanapenda❀sana pia
Karibuni sana katika page yangu tuzidi kupeana support ya Biashara, habari, funny, na n.k

πŸ•― R I P Mzee wetu lowasa, pumzika kwa amani Babu.
10/02/2024

πŸ•― R I P Mzee wetu lowasa, pumzika kwa amani Babu.

Serikali imeanza majaribio ya mfumo wa ufundishaji LIVE ambao Mwalimu mmoja anaweza kufundisha Wanafunzi wa Nchi nzima k...
09/02/2024

Serikali imeanza majaribio ya mfumo wa ufundishaji LIVE ambao Mwalimu mmoja anaweza kufundisha Wanafunzi wa Nchi nzima kwa wakati mmoja.

Mfumo huo ambao kwa sasa unafanyiwa majaribio kwa baadhi ya Shule za Mikoa miwili ya Pwani na Dodoma, unamwezesha Mwalimu kutoka kituo kimoja kufundisha wanafunzi wengi kwa wakati mmoja wakiwa Mikoa tofauti.

Utaratibu huo unaleta tafsiri ya kwamba mbali na kurahisisha utendaji kazi, pia ni njia mojawapo ya kukabiliana na uhaba wa Walimu, hasa wa masomo ya sayansi Shuleni ambapo unatumia smart board ambazo Mwalimu akiwa anafundisha Kibaha wengine wotw wanamuona Nchi nzima na wanaweza kuuliza maswali , kuchangia na kupata ufafanuzi.

Wakati Serikali inaendelea na majaribio ya mfumo huo, Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dodoma wamesema mfumo huo utawasaidia kupata uelewa kwa wepesi na kufanya vizuri kwenye mitihani ya kitaifa.

08/02/2024

Solve your problems, πŸ€‘ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

08/02/2024

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ wooooh so funny🀣

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 18:00

Telephone

+255769963466

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nelson collection's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nelson collection's:

Share

Category