25/10/2022
Huwa namuiliza mama winnie ety MAMA ni nini na yeye hunijibu "mama ni mama , nimtu anaekuwazia mema na kukupenda kule mtu yoyote duniani."
Nakupenda sana mama yangu nakuombea maisha marefu mno kungwi ,mwalimu , Mtumishi wa MUNGU ALIE HAI ❤️❤️😇😇🥳