Jovic store

Jovic store Wavalishaji wa nguo nzuri za mitumba
Kwa msaada mzuri 👇🏼
Call/whatsapp 0658 734260 SINZA MAPAMBANO

06/09/2024

Watch, follow, and discover more trending content.

Watu wengi sana wanauliza mbona mimi nguo zangu napiga picha lakini bado hazipati muonekano….Kuipa thamani maana yake ni...
17/08/2024

Watu wengi sana wanauliza mbona mimi nguo zangu napiga picha lakini bado hazipati muonekano….

Kuipa thamani maana yake ni kuipa ubora kutokana na hali yake au umuhimu wake.

Tujifunze njia au jinsi utakavyoipa thamani nguo ya mtumba
Je! Tunaipaje thamani?

Majibu ni k**a ifuatavyo:-
1. NYOOSHA NGUO
-Tumia pasi ya mvuke ni nzuri zaidi
-ukinyoosha nguo unaipa muonekano mzuri hata mvuto pia

2. FUA INAPOBIDI
- Sio nguo zote utanunua ziko safi kuna nyingine zinakuwa na uchavu.
Hakikisha unaifua. N.k

Fuata hayo maelekezo ni muhimu sana…

Je!Umejifunza kitu?

Share na save hii post muite na mwenzako nae apate elimu

BLAZER size 10🔥quality and amazing 👌Material 💯25000LIPA VODA 5142028LIPA TIGO 5972478Tupigie 0658 734260Save hii page kw...
16/08/2024

BLAZER size 10🔥quality and amazing 👌
Material 💯
25000

LIPA VODA 5142028
LIPA TIGO 5972478

Tupigie 0658 734260

Save hii page kwa msaada wa baadae, share kwa marafiki zako

Tupo sinza mapambano karibu na power house gym

BLAZER size 10🔥quality and amazing 👌Material 💯25000LIPA VODA 5142028LIPA TIGO 5972478Tupigie 0658 734260Save hii page kw...
16/08/2024

BLAZER size 10🔥quality and amazing 👌
Material 💯
25000

LIPA VODA 5142028
LIPA TIGO 5972478

Tupigie 0658 734260

Save hii page kwa msaada wa baadae, share kwa marafiki zako

Tupo sinza mapambano karibu na power house gym

BLAZER size 10/12🔥quality and amazing 👌Material 💯25000LIPA VODA 5142028LIPA TIGO 5972478Tupigie 0658 734260Save hii page...
16/08/2024

BLAZER size 10/12🔥quality and amazing 👌
Material 💯
25000

LIPA VODA 5142028
LIPA TIGO 5972478

Tupigie 0658 734260

Save hii page kwa msaada wa baadae, share kwa marafiki zako

Tupo sinza mapambano karibu na power house gym

Eti baby girl 🤣🤣🤣
16/08/2024

Eti baby girl 🤣🤣🤣

Ndioo tudumishe mahusiano mazuri🤣
14/08/2024

Ndioo tudumishe mahusiano mazuri🤣

13/08/2024
Njia ya kupata wazo la biashara, k**a ukizifuata unaweza kujikuta umepata wazo bora la biashara na lenye faida NAMNA YA ...
13/08/2024

Njia ya kupata wazo la biashara, k**a ukizifuata unaweza kujikuta umepata wazo bora la biashara na lenye faida

NAMNA YA KUPATA WAZO LA BIASHARA
1. ANGALIA UHITAJI WA WATU
Kabla hujaanz biashara yako Angalia uhitaji wa watu ambako unataka kuanzisha biashara yako. Jiulize ni bidhaa au huduma gani inahitajika katika sehemu unapo taka kufungua biashara hiyo.

2. FANYA UTAFITI WA BIASHARA
Fanya utafiti juu ya mambo mbalimbali ikiwemo ukubwa wa uhitaji na kipato cha watu ili kuweka usawa katika bidhaa au huduma yako kulingana na vipato vya wateja wako
💥Pia fanya utafiti juu ya upatikinaji wa vitendea kazi(materials).

3. IPENDE BIASHARA UNAYOTAKA KUANZISHA
-Hauwezi kuanzisha biashara yoyote tu eti kwa sababu una mtaji kivyovyote unaweza kujikuta umepata hasara na hukuifanya kwa kuipenda.
-Kitu kitoke moyoni katika kukifanya, usipo kuwa na hisia na biashara unayo hitaji kuanzisha utajikuta haina ule msukumo wenyewe katika kuikuza na kuiendeleza biashara hiyo.

4. ANGALIA GHARAMA ZA UENDESHAJI WA BIASHARA
Lazima utambue katika kuanzisha na kufanya biashara yoyote kuna gharama ambazo huwa zina mlazimu mfanyabiashara kuzigharimia katika kuendesha biashara yake. Gharama hizo zinaweza kuwa za moja kwa moja au ambazo sio za moja kwa moja.

5. ANGALIA USHINDANI WA BIASHARA
Ushindani siku zote ndio ambao hutofautisha kati ya mfanyabiashara mkomavu na mbunifu na ikiwa unataka kuanzisha biashara katika mazingira ya ushindani basi jitihada sana kujiweka tofauti na wafanyabiashara wenzako.

Umeshajua namna ya kupata wazo la biashara?

Tag rafiki yako nae aje ajifunze
Save and share hii post itakusaidia baadae

Address

Sinza Mapambano Near Power House Gym
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 20:00
Wednesday 09:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 09:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255658734260

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jovic store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share