31/08/2024
Habari,
Natumaini mko salama!
Hongereni kwa kazi nzuri ya kuhudumia familia zenu. Ningependa kuwajulisha kuwa naweza kuwasambazia nafaka na bidhaa nyingine muhimu kwa bei nafuu, na tunatoa huduma ya kusafirisha hadi mlangoni. Malipo hufanyika baada ya kupokea mzigo. Pia, tunatoa sampuli kabla ya kununua.
Hii hapa ni orodha ya bidhaa na bei zetu:
- Sukari
- 20kg - 58,000 TZS
- 25kg - 62,000 TZS
- 50kg - 117,000 TZS
- Mafuta ya kupikia
- 10 Litres - 50,000 TZS
- Ndoo 20 Litres - 92,000 TZS
- Dumu 20 Litres - 88,000 TZS
- Prestige 10 Litres - 67,000 TZS
- Sabuni
- Sabuni ya unga 25kg - 32,000 TZS
- Sabuni ya kipande (Whitewash) 1 Carton - 72,000 TZS
- Chumvi
- 1 Carton - 14,000 TZS
- Steel Wire ya kuoshea vyombo
- Dozen - 7,000 TZS
- Mchele wa kawaida
- 1kg - 1,600, 1,800, 2,000, 2,200 TZS
- Mchele Super
- 1kg - 2,500, 2,700, 2,800, 3,000, 3,200, 3,500 TZS
- Unga wa Mahindi
- Sembe 25kg - 26,000 TZS
- Dona 25kg - 26,000 TZS
- Lishe (Unga wa uji)
- 1kg - 3,000 TZS
- Unga wa Ngano
- 25kg - 40,500 TZS
- Maharage
- Maharage Njano 1kg - 2,900, 3,000, 3,200 TZS
- Maharage Combat 1kg - 2,900, 3,000 TZS
- Maharage Rozi Coco 1kg - 3,000 TZS
-Kande
25kg - 25,000 TZS
Kwa oda au maswali yoyote, tafadhali wasiliana nami kupitia Vodacom 0744463612 au Tigo 0678263612. Natarajia sana fursa ya kufanya kazi na nyinyi.
Asanteni sana, na natarajia kusikia kutoka kwenu hivi karibuni.