10/07/2026
2in1 Water Bottles & Juice
chupa moja yenye uwezo wa kubeba vimiminika viwili tofauti bila kuingiliana. Chupa hii unaweza mwekea mwanao maji upande mmoja na juice upande wa pili bila kumpa mtoto uzito wa kubeba chupa mbili kwenye bag.
Bei: 30,000/=
📞📲 0744304304/0658719128
📍Lufungila, sinza mori road
TUNAUZA JUMLA NA REJAREJA