02/12/2025
WEANING PACKAGE β MSAADA MKUBWA KWA MAMA NA MTOTO!
Kuanzisha solid foods sio kazi tena! π
Package hii ya Tsh 71,000 imekusanya kila kitu unachohitaji ili kumwanzishia mtoto chakula kwa usalama, usafi na urahisi π―
β¨ Ndani ya package unapata:
β’ Feeding chair β Mtoto anakaa salama & straight, hakuna food mess kila mahali
β’ Feeding set (BPA Free) β Sahani & kikombe salama kwa afya ya mtoto
β’ Silicone bib β Inakamata chakula, hakuna kuosha nguo kila mara
β’ Fresh fruit feeder β Mtoto anaonja matunda bila hatari ya kukabwa
β’ Silicone spoon bottle β Rahisi kumlisha uji, mtori au mtindi bila kumwaga
π Faida ya kuchukua package:
Badala ya kununua kitu kimoja kimoja kwa bei kubwa, hapa unapata FULL SET ya kuanzia weaning kwa gharama ndogo na mtoto anakuwa safe, comfortable na anajifunza kula vizuri.
Perfect kwa mama anayeanza safari ya ulishaji ππΆ
πΈ Bei: Tsh 71,000 tu!
Limited stock β chukua yako leo!
Whatsapp/Call 0756737383
π Follow IG yetu: instagram.com/babybutton_tz