02/04/2025
📢 TAARIFA KWA WATEJA WETU WAPENDWA 📢
Tunapenda kuwaomba radhi kwa usumbufu, Nina’s Boutique itakuwa imefungwa kwa muda mfupi hadi tarehe 7 Aprili 2025. 🙏
Tunathamini sana uelewa wenu na tunawaahidi kurudi na huduma bora zaidi! 💖 Asanteni kwa sapoti yenu, tunawaona hivi karibuni! 😊