Henley fashion

Henley fashion Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Henley fashion, Design & Fashion, henleyfashion@gmail. com, Dar es Salaam.

Nakumbuka tulikuwa tunakaziana sana wakt tupo wadogo lakin sasa umekuwa rafiki Yangu wakaribu sanaaa Mungu azidi kukupa ...
07/08/2019

Nakumbuka tulikuwa tunakaziana sana wakt tupo wadogo lakin sasa umekuwa rafiki Yangu wakaribu sanaaa Mungu azidi kukupa unyenyekevu zaidi katika huduma yake aliyoiweka ndani haki tumebarikiwa watoto wa Sambagi kuwa waimbaji Mungu akuinue na tuzidi kushirikiana sana ufikie malengo yako ahsnt kwa kuniheshimu kaka yako na kunipeda nam najivunia ww much love dogoooo Happy birthday my lovely younger brother @ Ubungo Msewe

06/08/2019

K**a bado huja subscribe channel yang ya YouTube Fanya hima ili usipitwe n kazi hii soon link ya YouTube iko kw bio yang bofya itakupeleka mpk kwny channel yang

Shalom..kwa Mara ya kwnza nategemea kuachia Wimbo wangu mpya uendao kw jina LA   ktk YouTube channel Yangu link ipo kwen...
25/07/2019

Shalom..kwa Mara ya kwnza nategemea kuachia Wimbo wangu mpya uendao kw jina LA ktk YouTube channel Yangu link ipo kwenye bio yang bofya itakupeleka mpk kwnye account yang subscribe uwe wa kwnza kuipata kazi hii Mungu akubariki. Andika Nicholous Sambagi utanipata

Henley fashion tunachanja mbuga kuwavalisha watu vitenge vikali vilivyosimama sana disco java ahsnt mama yangu umependez...
03/08/2017

Henley fashion tunachanja mbuga kuwavalisha watu vitenge vikali vilivyosimama sana disco java ahsnt mama yangu umependeza sana jipatie kitenge chako leo kwa sh 30000 tu popote ulipo wasiliana na 0714257174 /0684499785 utapata kitenge safi sana karibuni

Henley fashion tunajivunia kwa biashara iliyo bora na ya uhakika zaidi pia Henley fashion tumehusika kwa asilimia 100% k...
17/07/2017

Henley fashion tunajivunia kwa biashara iliyo bora na ya uhakika zaidi pia Henley fashion tumehusika kwa asilimia 100% kumvalisha dada huyu mteja wetu hakika tunasonga mbele wasiliana nasi namna ya kupata kitenge chako org super java kwa bei ya kutupa sana piga simu 0714 257 174 / 0684 499 785 muda wowote utapata kile kilicho bora pia unaweza kutupatia oda ya maua unayoyapenda k**a alivyofanya huyu dada na tukakulete

Ahsnt Henley fashion kwa kumvalisha huyu dada kitenge safi kabisa karibu kwa oda yako ya vitenge kwa kupiga simu 0714 25...
29/06/2017

Ahsnt Henley fashion kwa kumvalisha huyu dada kitenge safi kabisa karibu kwa oda yako ya vitenge kwa kupiga simu 0714 25 71 74 / 0684 499 785

Endelea kutoa oda yako ya vitenge safii kwa bei poa sana ya sh 30,000/- pesa ya kitanzania wasikiana nasi 0714 257 174 /...
27/06/2017

Endelea kutoa oda yako ya vitenge safii kwa bei poa sana ya sh 30,000/- pesa ya kitanzania wasikiana nasi 0714 257 174 / 0684 499 785 utafikishiwa hadi nyumbani karibuni wateja wetu

Address

Henleyfashion@gmail. Com
Dar Es Salaam
1

Opening Hours

Monday 08:00 - 22:00
Tuesday 08:00 - 22:00
Wednesday 08:00 - 22:00
Thursday 08:00 - 22:00
Friday 08:00 - 22:00
Saturday 08:00 - 22:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Henley fashion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share