18/08/2020
*RAYMA Supplies*
Habari zenu wadau...
Leo nataka niwaletee biashara ya kuanza na mtaji mdogo... Biashara ambayo k**a wewe Ni mwanafunzi wa chuo au mama wa nyumbani au mfanyakazi au hunakazi yoyote unaetaka kujipatia kipato Cha ziada itakufaa Sana.. biashara hii usipokua na aibu itakutoa vizuri tuu...
Hii biashara unaweza kuanza na mtaji wa 70,000... Ni biashara ya dagaa nyama...
Kwenye hii ela utapata kilo 10 ..
KWENYE JINSI YA KUWA PACK SASA..
Unaweza ukafunga
gram 100 ukauza TSH 1,000
gram 50 ukuaza TSH 500.....
Sasa kwenye kila kilo moja utapata packet 10 za elfu Moja au packets 20 za 500... Kwenye kila kilo moja utapata faida ya tsh 3000 ambapo kwenye kilo kumi utapata faida ya tsh 30,000 ukiuza kila siku kilo 3 tayari unapata pesa ya kujikimu ambapo unaweza kutumia 5000 ukaweka 2000 kwa ajili ya uendeshaji wa biashara na 2000 kwa ajili ya maendeleo yako binafsi ukiuza zaidi unapata kipato kikubwa zaidi na kutimiza malengo yako bila shaka .
Natamani maswali na maoni yote niyajibie humu humu ili hata ambao watakua sio wateja wapate kitu Cha kujifunza..
Tupo karibu na mahak**a kuu , Posta Dar es salaam.
Simu 0677-545992 WhatsApp na 0782-650455.