Ufund by Salaka mnyasa

Ufund by Salaka mnyasa I am at tz

Karibuni sana napatikana Tz Ruvuma Mbamba bay
15/05/2022

Karibuni sana napatikana Tz Ruvuma Mbamba bay

By fund Salaka
09/03/2021

By fund Salaka

Fund wa wilaya by salaka mnyasa
15/01/2021

Fund wa wilaya by salaka mnyasa

13/01/2021
Bem vindo no Afund faz tudo
09/04/2019

Bem vindo no Afund faz tudo

03/04/2019

Tunaishi katika ulimwengu ambapo:
"Neno la Mungu limekuwa ujinga;
";
-dhambi imekua kitu chakushangiria
"Ambapo mwanamke mzuri ndiye anayevaa vibaya;
"-Ambapo ulevi na uvutaji ninjia yakuondoa stres;
-kusoma kunaleta uvivu;
-aongeae kweli ni mpumbavu;
"Yeyote anayekimbia udanganyifu ni mshamba;
"Ambapo mwanamke aliyevaa vizuri kwakujistiri anaitwa mwanamke mzee;
"Ambapo kuwa bikira ni kupitwa na wakati
-kupendana jinsia moja Gayi;
-Ambapo yeyote mwenye ujuzi na mafanikio hunenwa ni Mchawi au yu freemason,,,
"Ambapo huumiza zaidi kupoteza simu kuliko ubikira;
"Ambapo Mada ya kuhusu ngono ndiyo mada bora
-mpenzi mzuri Handsome& Beautifly Ndie mwenye wapenzi zaidi ya 2
-kupitia njia zisizo halari ili kupata mafanikio ;
- Mtu yeyote asiye tumia mitandao ya kijamii amepitwa na wakati
_ -Ambapo jina Lako Mungu watu wanafanyia biashara,,,
_ -Ambapo kunena Bwana Yesu Asifiwe imekuwa chukizo masikioni mwao,,
_Ambapo watu wanagombana na kutoana kafara kwaajiri ya mari,
_ -Ambapo utajiri wakimwili ni muhimu sana kuliko utajiri wakiRoho

Kumbuka siku za Nuhu, Mungu alikerwa na tábia za Kile kizazi na akaiharibu dunia kwa maji, hivyo ndivyo itakuwa siku ya mwisho, lakini itaharibiwa kwa moto.
Wale ambao tayari ni waumini nani wateule twapaswa kusonga mbele nimwiko kurudi nyuma , endelea kupigana kwa sababu hatimaye utakuwa mshindi na usisahau kwamba Mungu Anakupenda. By Salaka From Nyasa Chimate ,, Aleluya family ,,,I miss you my Everything mchungaji Chikoko naamini Ipo siku tutakuja kuonana Parapanda itakavyo lia,,,Ámina

Address

Mbamba Bay
Dar Es Salaam

Telephone

+255764741601

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ufund by Salaka mnyasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share