28/04/2025
Je unajua SIRI hizi kuhusu HIJAMA:-
Hijama ina faida nyingi sana, hasa inapofanyika kwa uangalizi,mfululizo wa sessions na kwa mtu mwenye ujuzi sahihi. Faida zake huonekana katika karibu kila mfumo wa mwili:
1. Mfumo wa Fahamu (Central Nervous System)
Hijama husaidia kupunguza maumivu ya kichwa (headaches) na migraines kwa kusaidia kupunguza pressure kwenye mishipa ya fahamu. Inasaidia pia kutuliza akili, kupunguza stress na anxiety kwa kuchochea kutengenezwa kwa endorphins — kemikali zinazotuliza mwili.
2. Mfumo wa Mzunguko wa Damu (Circulatory System)
Wet cupping huondoa damu isiyokuwa na virutubisho, ambayo hubeba uchafu au sumu zilizokwama kwenye tishu. Hii huongeza blood flow, huimarisha moyo kufanya kazi vizuri, na kusaidia kushusha shinikizo la damu(blood pressure)kwa baadhi ya watu.
3. Mfumo wa Misuli na Mifupa (Musculoskeletal System)
Massage na dry cupping husaidia kulegeza misuli iliyokakamaa, kupunguza maumivu ya mgongo, shingo, mabega, na viungo. Wagonjwa wa arthritis hupata ahueni baada ya mfululizo wa sessions
Tunapatikana Mwanza Tanzania
Wasiliana nasi simu namba 0767345789
Au WhatsApp 0767345789