Ujasiliamali kwanza

Ujasiliamali kwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ujasiliamali kwanza, Design & Fashion, Dar es salam, Dar es Salaam.

*UGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE*Pelvic Inflammatory Disease Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa...
25/06/2019

*UGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE*
Pelvic Inflammatory Disease
Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:-

Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivy wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe.

DALILI ZA UGONJWA WA PID
1⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2⃣Kuwashwa sehemu za siri
3⃣Uke kutoa harufu mbaya
4⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5⃣Uke kuwa wa ulaini sana
6⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7⃣Kuvurugika Kwa hedhi
8⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

MADHARA YA PID
•Ugumba
•Kansa ya shingo ya kizazi
•Mirija ya uzazi kuziba
•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

*Kwatiba na ushauri karibu, 0758010402

Bidhaa za oriflame ,perfume na lotion.,,,kwa mawasiliano zaidi 0758010402.
04/05/2017

Bidhaa za oriflame ,perfume na lotion.,,,kwa mawasiliano zaidi 0758010402.

Ladies and gentleman ...plz get one for you...plz dial 0758010402 for details and need of it.....Thank you.
06/12/2016

Ladies and gentleman ...plz get one for you...plz dial 0758010402 for details and need of it.....Thank you.

Address

Dar Es Salam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ujasiliamali kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share