Twinkle Touch Cleaners Service

Twinkle Touch Cleaners Service Tupatie Nyumba au Ofisi yako leo,Tukupe simulizi bora isiyo sahaulika

🌟 *Fanya Nyumba Yako Ipendeze na Twinkle Touch Cleaning.!* 🌟🏠 Unahisi nyumba yako inahitaji kung'ara kidogo zaidi? Hakun...
17/10/2024

🌟 *Fanya Nyumba Yako Ipendeze na Twinkle Touch Cleaning.!* 🌟

🏠 Unahisi nyumba yako inahitaji kung'ara kidogo zaidi? Hakuna wasiwasi β€” tuko hapa kukusaidia kurejesha furaha na usafi ndani ya nyumbani na ofisi yako.!

✨ *Tunachotoa:*
- Usafi wa Kila Kona (Sema kwaheri uchafu!)
- Huduma za Usafi wa Kawaida (Tunaweka mambo safi na nadhifu)
- Usafi wa Kuhama/Kuingia (Acha nyumba bila chembe ya vumbi)
- Usafi wa Ofisi

πŸ’ͺ *Kwa Nini Utuchague?*
- Timu Rafiki na Wenye Uzoefu (Tunajua usafi!)
- Ratiba Isibadilika na kujali muda.
- Kuridhika 100% (Furaha yako ndiyo lengo letu)
- Bei Nafuu (Usafi wa hali ya juu na bei rafiki)

πŸ“ž *Uko Tayari ?
Tupigie kwa 0788111186 au tutumie tutumie msg.!

*Ofa Maalum:*
Pata punguzo la 20% kwenye huduma yako ya kwanza ya usafi β€” kwa sababu kila mtu anastahili mwanzo unaong'aa!

πŸ‘‰ fuatilia ukurasa wetu na ushiriki kutoa maoni yako.

🧹🧽🧼πŸͺ£β€οΈ

15/10/2024

Call us: 0787111186

Najua unajua ila nakujuza zaidi. Moja ya kuwa na hewa nzuri ndani ya Nyumba yako ni kuwa na viti au masofa ambayo ni mas...
15/10/2024

Najua unajua ila nakujuza zaidi. Moja ya kuwa na hewa nzuri ndani ya Nyumba yako ni kuwa na viti au masofa ambayo ni masafi hufanya kuleta mvuto zaidi na hewa nzuri ndani ya nyumba yako.

Huu ndo utofauti uliopo. Tupigie sasa tutatue uchafu uliopo kwenye masofa yako. 🧹🧽🧼πŸͺ£β€οΈ
15/10/2024

Huu ndo utofauti uliopo. Tupigie sasa tutatue uchafu uliopo kwenye masofa yako.

🧹🧽🧼πŸͺ£β€οΈ

Happy Nyerere Day.
14/10/2024

Happy Nyerere Day.

Hizi ni bei zetu za kusafisha masofa karibu tulete muonekano wako mpya wa Viti na Masofa yako.
11/10/2024

Hizi ni bei zetu za kusafisha masofa karibu tulete muonekano wako mpya wa Viti na Masofa yako.

Weekend ndo inaanza weka mjonekank wa Nyumba yako, Ofisi na kadhalika tuko hapa kukuhudumia. Call: 0787111186
27/09/2024

Weekend ndo inaanza weka mjonekank wa Nyumba yako, Ofisi na kadhalika tuko hapa kukuhudumia.

Call: 0787111186

Karibu  kwa huduma za kusafisha vyoo, usafi wa nyumbani na ofisini na kusafisha masofa aina yote.πŸ“ž 0787111186           ...
06/09/2024

Karibu kwa huduma za kusafisha vyoo, usafi wa nyumbani na ofisini na kusafisha masofa aina yote.

πŸ“ž 0787111186

Kwa huduma za usafi wa masofa yako karibu kwetu tukupe kile kilichobora.Call: 0787111186
14/08/2024

Kwa huduma za usafi wa masofa yako karibu kwetu tukupe kile kilichobora.

Call: 0787111186

Karibu kwa huduma za usafi wa majumbani na ofisini sisi  tupo kwa ajili yenu wateja wetu.πŸ“ž  0787111186
04/08/2024

Karibu kwa huduma za usafi wa majumbani na ofisini sisi tupo kwa ajili yenu wateja wetu.

πŸ“ž 0787111186

Karibu kwetu wataalam wa usafi wa masofa na majumbani kwa kila aina ya usafi wa nyumba yako tuko hapa kufanya eneo lako ...
30/07/2024

Karibu kwetu wataalam wa usafi wa masofa na majumbani kwa kila aina ya usafi wa nyumba yako tuko hapa kufanya eneo lako kuwa safi na salama huduma..

Tupigie tuku hudumie.
0787111186

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255787111186

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Twinkle Touch Cleaners Service posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Twinkle Touch Cleaners Service:

Share

Category