12/03/2026
Jinsi ya Kuchagua Jilbab:
1. Rangi: Chagua Neutral Colors (k**a N**e, Black, au Navy Blue) kwa matumizi ya kila siku, na Bold Colors (k**a Emerald Green au Maroon) kwa ajili ya hafla.
2. Urefu: Hakikisha Jilbab haiburuzi sana ili usipate tabu unapotembea, lakini ifike kwenye vifundo vya miguu kwa stara kamili.
3. Utunzaji: Jilbab bora haihitaji kupigwa pasi kila saa. Hizi za kwetu ni iron-friendly na hazishiki mikunjo kwa urahisi.
Chagua kuwa Stara, Elegance, na Uhalisia.๐ฐ Uwekezaji: Tsh 120,000/=
๐ Size: 54,56,58 & 60
๐ Delivery: Popote ulipo (Dar & Mikoani)
๐ Gonga โLIKEโ โค๏ธ ikiwa unajivunia stara yako, na Bofya LINK KWENYE BIO kujiwekea yako sasa!.