Wonder World Kids

Wonder World Kids From baby giggles to mama sparkles ✨
Clothes | Toys | Bath | Feeding | Jewelry & more!

12/08/2026

Kumfundisha mtoto si lazima kila wakati iwe kukaa na daftari na penseli. Wakati mwingine michezo ndiyo darasa lake bora.
Match N Learn inampa mtoto nafasi ya kuangalia, kufikiria na kutafuta vitu vinavyofanana.
Anapofanya hivyo, anafanya mazoezi ya kutambua picha na vitu, kuongeza umakini, kukumbuka na kuona uhusiano kati ya kitu kimoja na kingine.
Na kila anapopata jibu sahihi, ile furaha ya “Nimeweza!” inamjengea confidence pia.
Wonder World Kids – Sinza PR Complex
WhatsApp/Call: 0693 064 364/0758 465 997

Toys

11/08/2026

Missing Letter inampa mtoto challenge ya kuangalia neno, kufikiria na kugundua ni herufi gani inayokosekana.
Kupitia mchezo huu, mtoto anaweza kufanya mazoezi ya kutambua herufi, spelling na kujenga msamiati wake huku akifurahia mchezo.
Badala ya kukariri tu, mruhusu mtoto afikiri, ajaribu na ajifunze.
Wonder World Kids – Sinza PR Complex
WhatsApp/Call: 0693 064 364

10/08/2026

Mtoto akianza kuelewa hesabu kwa njia ya kucheza, anajenga msingi mzuri wa kupenda namba mapema.
Operation Box inampa mtoto nafasi ya kufanya mazoezi ya hesabu kwa vitendo, huku akijenga uwezo wa kufikiri, kutatua maswali na kujiamini zaidi anapokutana na hesabu.
Hesabu + mchezo = kujifunza kwa furaha!
Wonder World Kids – Sinza PR Complex
WhatsApp/Call: 0693 064 364

09/08/2026

Match & Link ni zaidi ya mchezo wa kuoanisha vitu. Mtoto anapojaribu kutafuta vitu vinavyohusiana, anatumia umakini, kumbukumbu na uwezo wake wa kufikiri.
Ni njia nzuri ya kumsaidia mtoto kujifunza kutambua uhusiano wa vitu na kutatua changamoto ndogo ndogo huku akifurahia kucheza.
Tunapatikana: Wonder World Kids, Sinza PR Complex
Mawasiliano: WhatsApp/Call: 0693 064 364


08/08/2026

Kujua kusoma saa ni zaidi ya kutambua namba. Ni ujuzi unaomsaidia mtoto kujifunza kutunza muda, kuwa na nidhamu na kujitegemea mapema.
Kupitia Match the Time, mtoto hujifunza tofauti kati ya saa na dakika kwa njia rahisi na ya kufurahisha. Anacheza, anajifunza na anajenga uelewa wa muda hatua kwa hatua.
Mpe mtoto wako nafasi ya kujifunza ujuzi ambao atauhitaji maisha yake yote.
Karibu Wonder World Kids, Sinza PR Complex, dukan amba 83
WhatsApp/Call: 0693 064 364

07/08/2026

Kabla mtoto hajawa msomaji mzuri, lazima ajifunze jinsi ya kuunganisha maneno na kuyafanya yawe na maana.
Sentence Making Kit humsaidia mtoto:
• Kujenga sentensi sahihi.
• Kuongeza msamiati
• Kuboresha uwezo wa kusoma na kuandika.
• Kujiaminikatika mawasiliano.
Kupitia mchezo huu, mtoto hujifunza lugha kwa njia ya kufurahisha na yenye matokeo mazuri.
Karibu Wonder World Kids ujipatie toys na vifaa vinavyomsaidia mtoto kujifunza kupitia kucheza.
Sinza PR Complex,duka namba 83
WhatsApp/Call: 0693 064 364

06/08/2026

Watoto hujifunza vizuri zaidi wanapoona, kugusa na kurudia. Hapo ndipo nguvu ya Flashcards ilipo
Flashcards humsaidia mtoto:
• Kuongeza msamiati.
• Kutambua picha, herufi na maneno.
• Kuimarisha kumbukumbu.
• Kujifunza kwa kujiamini kupitia mchezo.
Ni kifaa rahisi lakini chenye mchango mkubwa katika safari ya kujifunza ya mtoto wako.
Tembelea Wonder World Kids – Sinza PR Complex, duka namba 83
WhatsApp/Call: 0693 064 364

02/08/2026

Watoto hawajifunzi kutamka na kuandika maneno kwa kukariri pekee, hujifunza pia kupitia mchezo!
Spelling games humsaidia mtoto:
Kuongeza msamiati wake.
Kutambua mpangilio sahihi wa herufi.
Kuboresha uwezo wa kusoma na kuandika.
Kukuza umakini, kumbukumbu na uwezo wa kutatua changamoto.
Kadri mtoto anavyocheza, ndivyo anavyojifunza kwa furaha na kujiamini zaidi.
Mpe mtoto wako nafasi ya kujifunza kupitia michezo yenye maana.
Karibu Wonder World Kids, Sinza PR Complex
WhatsApp/Call: 0693 064 364

01/08/2026

Je, unajua?
Kabla mtoto hajaanza kusoma maneno, ni muhimu kwanza ajifunze kutambua na kuoanisha herufi kubwa na herufi ndogo.
Mchezo huu humsaidia mtoto:
• Kutambua herufi kwa urahisi
• Kuimarisha kumbukumbu na umakini
• Kujiandaa vizuri kwa kusoma na kuandika
• Kujifunza kupitia kucheza, bila kuchoka
Kumbuka, watoto hujifunza vizuri zaidi wanapocheza.
Karibu Wonder World Kids ujionee toys na vifaa mbalimbali vinavyochangia maendeleo ya mtoto wako kupitia michezo ya elimu.
Sinza PR Complex
WhatsApp/Call: 0693 064 364

Address

PR Complex, Sinza Kumekucha
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 19:00
Saturday 10:00 - 19:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wonder World Kids posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share