Mchina mweusi shoe

Mchina mweusi shoe kwa mahitaji yako ya viatu vya kiume vya kisasa, wasiliana nasi kupitia page hii tutakufikia popote

tell us what shoes you like to wear and we will deliver it to you

12/05/2020
Jipatie converse kwa bei na fuu sasa, tunauza kwa bei ya jumla na rejareja, duka letu lipo kariakoo mtaa wa kongo na nar...
12/05/2020

Jipatie converse kwa bei na fuu sasa, tunauza kwa bei ya jumla na rejareja, duka letu lipo kariakoo mtaa wa kongo na narung’ombe, unaweza ukaja dukani au ukaweka order kupitia page hii na kiatu kitakufikia hadi mahali ulipo.
Una subiri nini? Wajanja wote wanavaa converse kutoka kwetu.

Hakuna kitu kinazuia watu wanja kupendeza, pengine unasema kiatu k**a hiki nakipataje kipindi k**a hiki, usijari tupo ha...
09/05/2020

Hakuna kitu kinazuia watu wanja kupendeza, pengine unasema kiatu k**a hiki nakipataje kipindi k**a hiki, usijari tupo hapa kukuhudumia, weka order yako sasa na mzigo utakufikia hadi ulipo. Usi nunue kiatu kwa madalali wa mtandaoni, nunua mmoja kwa moja kwa duka hili la mtandaoni na utafikishiwa kiatu hadi mahali ulipo. Na k**a utapenda kuja moja kwa moja dukani, tutumie namba yako nasi tutakuelekeza mahali duka lilipo.

Kwa wakazi wa Dar es salaam na mikoa ya jirani, sasa unaweza kununua kiatu kupitia page zetu, na tutakufikisha mahali ul...
08/05/2020

Kwa wakazi wa Dar es salaam na mikoa ya jirani, sasa unaweza kununua kiatu kupitia page zetu, na tutakufikisha mahali ulipo ndani ya muda mfupi. Unachelewa nini sasa, Agiza kiatu ukipendacho na utateletewa hadi mahali ulipo.

Available!!!karibu mchina Mweusi shoes!
14/03/2020

Available!!!karibu mchina Mweusi shoes!

Sandals kwa Bei ya jumla na rejarejaZipo dukani wahi kutoa order yako mapema.0715584342/0716828222
11/03/2020

Sandals kwa Bei ya jumla na rejareja
Zipo dukani wahi kutoa order yako mapema.0715584342/0716828222

Open shoes, ukivaa na pensi au kanzu utoka poa kabisa. Agiza sasa upate punguzo la bei hadi asilimia 25%
11/03/2020

Open shoes, ukivaa na pensi au kanzu utoka poa kabisa. Agiza sasa upate punguzo la bei hadi asilimia 25%

PUMA SHOESOriginal are available at the shopMCHINA MWEUSI_SHOES0715 58 43 42 /. 0716 82 82 22Narung'ombe/Congo streetKar...
06/03/2020

PUMA SHOES
Original are available at the shop
MCHINA MWEUSI_SHOES
0715 58 43 42 /. 0716 82 82 22
Narung'ombe/Congo street
Kariakoo .DSM

PUMA SHOESfor affordable price0716 82 82 22/0715 58 43 42
06/03/2020

PUMA SHOES
for affordable price
0716 82 82 22/0715 58 43 42

PUMA SHOESMCHINA MWEUSI_SHOESKariakooNarung'ombe/Congo0715 58 43 420716 82 82 22
06/03/2020

PUMA SHOES
MCHINA MWEUSI_SHOES
Kariakoo
Narung'ombe/Congo
0715 58 43 42
0716 82 82 22

NEW ARRIVALPUMA SHOESfor affordable priceDon't hasitate to contact us:0715 584342We are located at KARIAKOONarung'ombe/C...
06/03/2020

NEW ARRIVAL
PUMA SHOES
for affordable price
Don't hasitate to contact us:0715 584342
We are located at KARIAKOO
Narung'ombe/Congo street

Viatu vya puma vinapatika dukani kwetu sasa unaweza wasiliana nasi kupitia page hii. Karibu ujipatie viatu vye ubora sas...
06/03/2020

Viatu vya puma vinapatika dukani kwetu sasa unaweza wasiliana nasi kupitia page hii. Karibu ujipatie viatu vye ubora sasa.

Address

Congo Narung'ombe
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255715584342

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mchina mweusi shoe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mchina mweusi shoe:

Share

Category