Chupi bei ya jumla

Chupi bei ya jumla �Chupi quality, Pure Cotton bei kuanzia 3,500/=
� Ushauri Namna sahihi wa kuchagua nguo za ndani. |WhatsApp 0775699201
� MAKUMBUSHO, Dar Es Salaam.

Unadhani ni wanawake wangapi wana struggle na hili tatizo bila kujua chanzo halisi ni nini? 🤔Kati ya hizi ulizozisoma, n...
24/03/2026

Unadhani ni wanawake wangapi wana struggle na hili tatizo bila kujua chanzo halisi ni nini? 🤔

Kati ya hizi ulizozisoma, ni ipi umekuwa ukifanya bila kujua inaathiri afya yako? 😳

Hii sio uchawi, siyo Kwamba “KUNA MTU KAKUROGA” 😅Ni sayansi Tu...Uk'e wako kwa asili una tindikali (acidic) yenye pH ya ...
23/03/2026

Hii sio uchawi, siyo Kwamba “KUNA MTU KAKUROGA” 😅

Ni sayansi Tu...

Uk'e wako kwa asili una tindikali (acidic) yenye pH ya 3.8–4.5.

Sasa hiyo tindikali ikikutana na kitambaa cha chupi… lazima ibadilishe rangi mbele.

💁 Hii ni NORMAL kabisa.

Mradi tu:
✔ Hakuna kuwasha
✔ Hakuna harufu mbaya
✔ Hakuna uchafu usio wa kawaida
✔ Hakuna maumivu

Lakini ukiona:
❌ Uchafu mzito k**a maziwa yaliyoganda
❌ Harufu mbaya
❌ Kuhisi k**a Kuwaka moto / kuungua
❌ Kuwasha kupita kiasi
❌ Maumivu wakati wa tendo au kukojoa

🚨 Hapo sio kawaida tena — hiyo ni dalili ya maambukizi (infection), chukua hatua mapema.

Afya ya uke wako ni msingi wa afya ya uzazi 💚

Sasa niambie ukweli bila aibu…

👉 Je, hii hali ya chupi kubadilika rangi imewahi kukutokea au ulikuwa unaogopa kuuliza? 😅

Mwanafamilia unaanika nguo yako ya ndani nje au ndani?
22/03/2026

Mwanafamilia unaanika nguo yako ya ndani nje au ndani?

Wanaume wengi hawajui hili…lakini linaathiri sana nguvu za ki'ume 😳
22/03/2026

Wanaume wengi hawajui hili…
lakini linaathiri sana nguvu za ki'ume 😳

21/03/2026

Mtumie Rafiki yako ambaye kabati lake daima ni k**a soko la Kariakoo! 😂

Msaidie ajifunze kukunja CHUPI Zake kitalamu leo. ↗️

Baadhi Ya Chupi (hasa zenye Material Ya mpira/ Polyester nyingi)HUONGEZA JOTO + UNYEVUNYEVU 😬Na hapo ndipo bakteria huan...
21/03/2026

Baadhi Ya Chupi (hasa zenye Material Ya mpira/ Polyester nyingi)

HUONGEZA JOTO + UNYEVUNYEVU 😬
Na hapo ndipo bakteria huanza kuzaliana kimya kimya.

Sasa Dada Yangu Matokeo yake ni,
👉 Harufu isiyo ya kawaida Uko Kwa Bibi...
👉 Kuwashwa, k**a vile unapiga Guitar🙌
👉 Maambukizi kurudia mara kwa mara

Sasa Kukwepa Haya, unatakiwa kufanya Nini?

changua Chupi Zenye Material Salama Kwa Afya Yako

Na material hayo Ni CHUPI ZA COTTON

Chupi za pamba (cotton) zinasaidia:

✔️ Kuruhusu hewa kupita (At least uke unakuwa unapumua)

✔️ Kupunguza unyevunyevu uliopitiliza, Hivyo Kuzuia Harufu Mbaya Uko Kwa Bibi

✔️ Kuzuia mazingira ya bakteria hatarishi kuzaliana Zaidi

Ndio maana hasa kipindi cha joto
Nguo Za Ndani Zenye Material ya cotton SIO OPTION… ni kinga yako ya kwanza.

Usisubiri dalili zianze ndipo ubadilishe.
Anza sasa kujilinda mapema.

👇
Wewe unavaa chupi za aina gani mara nyingi—cotton au polyester?

K**a una mashaka yoyote kuhusu chupi zako na afya yako…

niandikie tuangalie pamoja

Usinunue chupi nyingine tena… KWANZA jibu hili swali 😳👇Unavaa kwa sababu ni nzuri au kwa sababu ni salama kwa mwili wako...
21/03/2026

Usinunue chupi nyingine tena… KWANZA jibu hili swali 😳👇

Unavaa kwa sababu ni nzuri au kwa sababu ni salama kwa mwili wako?

Ukweli ni huu…
Wanawake wengi wanapata muwasho, harufu au fangasi wa kurudia

lakini hawajui chanzo kinaanza kwenye chupi wanazovaa kila siku.

Sio kila chupi ni rafiki kwa afya ya uko Kwa Bibi.

Kabla ya Kununua Chupi Zako Tena ZINGATIA hii,
Material mbaya + size mbaya = matatizo yanarudi tena na tena.

Ndio maana kabla hujanunua nyingine,
hakikisha unajua:
✔️ Size yako sahihi
✔️ Material salama
✔️ Muda wa kubadilisha chupi zako

Usijiumize kimya kimya.

Unataka kubadilisha lakini hutaki kufanya makosa tena?

👉 Niko hapa kukusaidia, niandikie DM Neno "UNDERWEAR" Kupata Msaada Sahihi

19/02/2026
💌💞Set ya k**e yenye Saa, hereni na box lake lenye maua na mdoli;Bei 60,000Kwa Whatsapp number 0775699201
08/02/2026

💌💞Set ya k**e yenye
Saa, hereni na box lake lenye maua na mdoli;
Bei 60,000
Kwa Whatsapp number 0775699201

06/02/2026

🩳🩲 Kwa Bei rafiki kabisa
💌🔥Wahi sasa au tukutumie mzigo
Kwa Whatsapp number 0775699201

04/02/2026

🩳 Kwa Bei rafiki kabisa
💌🩲Wahi sasa au tukutumie mzigo
Tupo kijitonyama makumbusho karibu na Grand Villa hotel

18/10/2025

KARIBU NEYSAM UNDERWEAR
KWA WHATSAPP NAMBA 0775699201
TUPO KIJITONYAMA MAKUMBUSHO KARIBU NA GRANDIVILLA HOTEL

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chupi bei ya jumla posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share