Veillah giggy

Veillah giggy Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Veillah giggy, Women's clothes shop, Dar es salaam, Dar es Salaam.

10/06/2026
10/06/2026

MMESIKIA HUKO?
Kwa mujibu wa Mwandishi Jacob Kapaya ni kwamba Klabu ya Yanga itaitisha tena mkutano na Waandishi wa habari wiki hii kuzungumzia suala la ujenzi wa uwanja wao walioahidiwa.
Hiyo ni kauli ya Afisa Habari wa Klabu hiyo,Ally Shaban Kamwe!
CHAMBUA
@

10/06/2026

Bomba 2 Bomba!

Jamani msione mtu hapost mambo yake mengi kumbe chini chini ni mtu na nusu, k**a Harmonize ana nyumba zaidi ya thelasini ni Boss kabisa ili mradi visiwe vibanda mkaa

But Harmonize mzee wa dramma hajapost kweli hata tupicha tuchache hata nyumba kumi tu ila hata nyumba tano hakuna……moyo wa mtu kichaka

Facts after facts analysis between the line

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Veillah giggy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share