Agiza 0719528822

Agiza 0719528822 Agiza na ulipe baada ya kupokea mzigo

23/04/2024

DUAL LENS SOLAR 4G PTZ
CAMERA AVAILABLE
ni camera Nzuri yenye lens mbili na zina uwezo wa 1080P na ni camera ambayo INAWEZA KUZUNGUKA angle
360( tilt) . Camera Hii unaweza kuunganisha na Simu yako ya mkononi na kupata matukio LIVE UKIWA nyumbani, ofisini, shambani na kwenye biashara
yako kwa download APP KWENYE SIMU( ANDROID, iOS)
AU LAPTOP YAKO. CAMERA HIZI ZINATUMIA SIM CARD, CAMERA HIZI ZIPO AMBAZO ZINATUMIA UMEME NA ZINA
✅INA NIGHT VISION

✅INA MOTION DETECTION INATUMIA MEMORY CARD

✅360 WIDE ANGLE
INA PAN/ TILT MODE (inazunguka nyuzi 360)

✅TWO WAY AUDIO

✅SIM CARD SLOT

BEI YA DUAL LENS PTZ 4G CAMERA NI TSHS
170,000 TU KWA KILA MOJA NA BEI YA JUMLA NI TSHS
150,000 TU KWA KILA MOJA UKINUNUA KUANZIA CAMERA TANO NA KUENDELEA.
KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM tunafanya huduma ya
DELIVERY
unaletewa mzigo hadi ulipo kisha Ndio
unalipia GHARAMA YA BIDHAA NA USAFIRI (CASH ON DELIVERY) na Pia MIKOANI TUNATUMA KWA NJIA YA MABASI NA MALIPO NI BAADA YA KUPOKEA MZIGO

TUNAPATIKANA UBUNGO EXTERNAL DAR ES SALAAM
0719528822

23/04/2024

Address

Ubungo External
Dar Es Salaam

Telephone

+255719528822

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Agiza 0719528822 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Agiza 0719528822:

Share

Category