Swey collection

Swey collection Natural you

12/12/2024

Kwetu unachooda ndio utakachopata

Thanks ma boss karibu tena

Oda iambatane na miamala bosses 😁🤗

Thanks 🙏for ur order boss karibu tenaaaa
08/12/2024

Thanks 🙏for ur order boss karibu tenaaaa

Nywele zako zipo kwenye hali hii au zaidi ya hivi🤔 ...Karibu 🤗kwetu tuna mafuta mazuri yatakayo kurejeshea furaha Yako n...
07/12/2024

Nywele zako zipo kwenye hali hii au zaidi ya hivi🤔 ...

Karibu 🤗kwetu tuna mafuta mazuri yatakayo kurejeshea furaha Yako na kurudisha nywele zako kwenye hali nzuri kwa 10000 chupa moja

03/12/2024

Tunapokea Order muda wowote guys 🤗 karbun

Weka oda Yako ya mafuta na shampoo natural zisizo na chemical kwa matunzo mazuri ya nywele zako

We deliver all over the world kwa gharama za mteja karibuni wapenzi

Upekee wa mafuta ya *HALF-MOON* ni katika sifa zake za utendaji kazi na huu ndio utendaji kazi wake:-1. "Siri ya nywele ...
30/11/2024

Upekee wa mafuta ya *HALF-MOON* ni katika sifa zake za utendaji kazi na huu ndio utendaji kazi wake:-

1. "Siri ya nywele laini na zenye afya!"
2. "Nguvu ya asili kwa nywele zako!"
3. "Zikue, zing’arishe, zirejeshe uhai!"
4. "Uhai wa nywele zako unaanzia hapa!"
5. "Mafuta yenye matokeo ya haraka na ya kudumu!"
6. "Ondoa mba na rejesha nywele zako kwa urahisi."
7. "Kwa nywele ndefu, zenye unyevunyevu, na nguvu zaidi."
8. "Lainisha, ang’arisha, na linda nywele zako asubuhi hadi jioni

📌"Hakuna nywele zenye kupotea tena – mafuta haya ndiyo jibu!"
📌"Asili kwa kila tone – mafuta ya nywele yenye viambato vya asili."
📌Mafuta yaliyojaa viambato vya mimea kwa nywele bora."
📌"Ishi na ubora wa mafuta ya nywele yasiyo na kemikali."📌 "Mchanganyiko wa mimea kwa nywele zako bora!"
📌"Mafuta yenye nguvu ya viungo vya asili kwa kila aina ya nywele."

*_Wanapenda nywele zao, nawe unaweza pia!"*_

Kwetu huduma ni uhakika   Swey natural you Na kuhusu shampoo Shampo nyingi sana handmade wanajaza sulphur na paraben ili...
30/11/2024

Kwetu huduma ni uhakika Swey natural you
Na kuhusu shampoo

Shampo nyingi sana handmade wanajaza sulphur na paraben ili zikae muda mrefu na ziwe na povu na zinakak**aza sana nywele

Shida sio shampoo iwe na povu
Shida ni shampoo itibu tatizo la muhusika milele

K**a una mba maana yake ngozi ina infection pia ni kavu so unatakiwa upate shampoo ambayo itakuondolea mba lakini haitofanya ngozi yako kuwa kavu zaidi

Sie kwetu tuna shampoo natural ambayo ina salicylic acid ina olive oil castor oil glycerin vitamin E vitamin C na povu za kutosha bila kuhasahu harufu ya kuvutia

Yan unaosha nywele ,unanukia,unapata tiba na unakuwa na ngozi ya kichwa laini 24/7

Bei yake 10,000 ujazo 500ml

Kila mtu nywele zake huota kila siku
Kila mwez na kila mwaka

Shida ipo kwenye utunzaji
Je nywele yako ikiota huku nje inakutana na care gani!?

K**a umetumia Dawa ikakukataaa
Umetumia product nyingi bila matokeo
Karibu utumie zetu nina uhakika 1000% utarudi na ushuhuda k**a wenzako

Mafuta yapo kwa 10,000 tu

set nzima yenye mafuta ,shampoo,hair mist na hair conditioner ni 35,000

Call/sms/ whatsp 0629502578

Kila mtu nywele zake huota kila siku Kila mwez na kila mwaka Shida ipo kwenye utunzaji Je nywele yako ikiota huku nje in...
30/11/2024

Kila mtu nywele zake huota kila siku
Kila mwez na kila mwaka

Shida ipo kwenye utunzaji
Je nywele yako ikiota huku nje inakutana na care gani!?

K**a umetumia Dawa ikakukataaa
Umetumia product nyingi bila matokeo
Karibu utumie zetu nina uhakika 1000% utarudi na ushuhuda k**a wenzako

Mafuta yapo kwa 10,000 tu

set nzima yenye mafuta ,shampoo,hair mist na hair conditioner ni 35,000

Upekee wa mafuta ya *HALF-MOON* ni katika sifa zake za utendaji kazi na huu ndio utendaji kazi wake:-1. "Siri ya nywele ...
27/11/2024

Upekee wa mafuta ya *HALF-MOON* ni katika sifa zake za utendaji kazi na huu ndio utendaji kazi wake:-

1. "Siri ya nywele laini na zenye afya!"
2. "Nguvu ya asili kwa nywele zako!"
3. "Zikue, zing’arishe, zirejeshe uhai!"
4. "Uhai wa nywele zako unaanzia hapa!"
5. "Mafuta yenye matokeo ya haraka na ya kudumu!"
6. "Ondoa mba na rejesha nywele zako kwa urahisi."
7. "Kwa nywele ndefu, zenye unyevunyevu, na nguvu zaidi."
8. "Lainisha, ang’arisha, na linda nywele zako asubuhi hadi jioni

📌"Hakuna nywele zenye kupotea tena – mafuta haya ndiyo jibu!"
📌"Asili kwa kila tone – mafuta ya nywele yenye viambato vya asili."
📌Mafuta yaliyojaa viambato vya mimea kwa nywele bora."
📌"Ishi na ubora wa mafuta ya nywele yasiyo na kemikali."📌 "Mchanganyiko wa mimea kwa nywele zako bora!"
📌"Mafuta yenye nguvu ya viungo vya asili kwa kila aina ya nywele."

*_Wanapenda nywele zao, nawe unaweza pia!"*_

Chupa kwa 10000 tu
0629502578

27/11/2024

Nywele yangu imedumaa,
Mba hawaishi
Nikisuka kidogo tu nawashwa
Nywele yangu nyekundu
Nywele yangu nyepesi

Jaribu mafuta yetu
Yana herbs nyingi k**a,amla,Neem,cloves,rosemary,hibiscus,star anise,cinnamon,fenugreek,alovera na vingine vingin pamoja na carrier oil zenye faida k**a mafuta ya parachichi n**i zaituni nk

Mafuta chupa moja ni 10,000

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swey collection posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share