Ovs Aqua supplies

Ovs Aqua supplies Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ovs Aqua supplies, Tegeta kibaoni, Dar es Salaam.

03/09/2026

Vifaranga vipo vya kutosha sayo 200 kambale 400 kwa 500

Shamba bunju
Call 0752 595 472

03/09/2026

Gavanized pond
Zipo hapa dar es salaam
Tegeta nyuki

Call 0752 595 472

02/09/2026

Njombe isaula Asanteni sana
Damliner kutoka ovs aqua supplies
Fundi mahari wa kuunganisha kutoka ovs aqua supplies
Tuna liner za aina zote na mafundi wabobezi wanaunga lwa bei nafuu kabisa

Call 0752 595 472
Location dar tegeta nyuki

01/09/2026

Ndio unaweza zichimbia chini na zinakaa vizuri kabisa
Tuna diameter 2
Diameter 3
Diameter 4
Diameter 6
Diameter 8
Diameter 10
Location dar tegeta nyuki
Call 0752 595 472

01/09/2026

Hakuna Tena cha kukukwamisha katika uzalishaji wa vifaa vya sato vifaa vyote unajivipata hapa ovs aqua supplies

Call 0752 595 472
Location Dar tegeta nyuki

31/08/2026

πŸ’§πŸŒΎ USIUMIZE KICHWA TENA KUHUSU WATER STORAGE KWA AJILI YA MAZAO YAKO! πŸŒΎπŸ’§
🚨 GALVANIZED PONDS ZIPO! 🚨

Tunazo galvanized ponds zenye uwezo wa kuanzia LITA 5,000 hadi LITA 120,000 πŸ’¦πŸ”₯
Chagua ukubwa kulingana na matumizi yako au ukubwa wa shamba lako. Ni suluhisho bora kwa kuhifadhi maji kwa ajili ya: 🌱 Umwagiliaji wa mazao
πŸ’§ Water storage
🐟 Ufugaji wa samaki
🏑 Matumizi mbalimbali ya maji
βœ… Imara na zimetengenezwa kwa matumizi ya muda mrefu
βœ… Zipo kwa ukubwa tofauti
βœ… Unachukua kulingana na mahitaji yako

πŸ“ LOCATION: Tegeta Nyuki, Dar es Salaam – Tanzania
πŸ“ž 0746 162 902
πŸ“ž 0752 595 472
πŸ”₯ OVS AQUA SUPPLIES β€” SOLUTIONS ZA UFUGAJI SAMAKI NA WATER STORAGE! πŸŸπŸ’§

29/08/2026

Makabidhiano yameenda vizuri kabisaaa meja wetu amefurahi sana

Tupo dar tegeta nyuki
Call 0752 595 472

28/08/2026

Blowers zipo waty 1500
Na watt 2200
Location dat tegeta nyuki
Call 0752 595 472
Ukiwa na hizi mashine unafuga samaki wengi eneo dogo

27/08/2026

β€œWe trust in God, we keep working,
Tunauza liner Thickness zote
Tunatoa huduma ya kuunganisha liner popote runafika
Location dar tegeta nyuki
Call 0752 595 472

26/08/2026

Tunauza liner
0.3mm
0.5mm
0.75mm
1mm
1.5mm

Tunatoa huduma ya kuunganisha liner kwa bei nafuu sana
Call 0752 595 472
Location dar tegeta nyuki

Address

Tegeta Kibaoni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ovs Aqua supplies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ovs Aqua supplies:

Shortcuts

Share