29/08/2026
TUNAUZA OIL PRESS MACHINE | MASHINE ZA KUKAMUA MAFUTA YA ALIZETI, KARANGA, UFUTA, SOYA n.k
π +255 658 375 861
π² MKULIMA SOLUTION | KILIMO NA UFUGAJI
π Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
π Kariakoo β Dar es Salaam
βΈ»
Tunauza Oil Press Machines za aina tofauti kuanzia ndogo, za kati hadi kubwa:
β
6YL SERIES
β‘οΈ Mfano wa mashine:
β’ 6YL-68 (small scale)
β’ 6YL-80
β’ 6YL-95
β’ 6YL-100
β’ 6YL-120
Mashine hizi zinakamua mafuta ya: alizeti, karanga, ufuta, soya, parachichi, n**i n.k
Ni rahisi kutumia, zinatumia umeme mdogo na zinatoa mafuta mengi kwa muda mfupi.
βΈ»
β
YZYX SERIES
β‘οΈ Mfano wa mashine:
β’ YZYX 70
β’ YZYX 90
β’ YZYX 120
β’ YZYX 150
Hizi ni heavy-duty, zinafaa kwa uzalishaji mkubwa kwa viwanda, mashamba na vikundi.
Zina uwezo wa kukamua mafuta kwa kiwango kikubwa na hazihitaji matengenezo ya mara kwa mara.
βΈ»
Faida za mashine zetu
β
Zinakamua mafuta kwa kiwango kikubwa
β
Zina screw press imara
β
Sehemu za chuma ni salama kwa chakula (food grade)
β
Zinadumu muda mrefu
β
Zipo spare parts na service
βΈ»
MKULIMA SOLUTION tunauza mashine bora kabisa, mpya na zenye warranty.
π Call/WhatsApp: +255 658 375 861
π Tembelea ofisi yetu Kariakoo β Dar es Salaam