Kiongozi Makini

Kiongozi Makini Msema kweli, mwananchi wa kawaida. Tunatetea haki wote na maendeleo kwa wote. Bila itikadi, bila ubaguzi. Sauti yako, maono ya Taifa. 🇹🇿

03/09/2026

SHIKAMOO YANGA. Kha Ukiacha upinzani na wivu, kwa hili hapa lazima ukubali kuzidiwa. YANGA MMEJUA KUTUNYOOSHA . yaani Fabrizio kaita gaza jersey dah . Hongerani wananchi. Haafu anamalizia YANGA BINGWA dah 🙌🙌

02/09/2026

Mange awaburuza meta KOTINI kwa kuzifuta akaunti zake kwenye mitandao Yao ya kijamii.



Credit :

28/08/2026

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimependekeza Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania.Jina hilo litawasilishwa Bun...
26/08/2026

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimependekeza Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania.

Jina hilo litawasilishwa Bungeni kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge, na endapo litapitishwa, ataapishwa kushika wadhifa huo rasmi.

_________________________________________________________________________

Ndejembi ni nani - Profile yake.

Deogratius John Ndejembi (alizaliwa Julai 12, 1983) ni mwanasiasa wa Tanzania na mwanachama wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM).

​Nyadhifa Kuu za Kisiasa na Kiserikali

​Jimbo la Uchaguzi: Mbunge wa Jimbo la Chamwino mkoani Dodoma.

​Wadhifa wa sasa kiserikali: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu).

​Nafasi za Uwaziri Alizowahi Kushika:

​Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

​Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora)

​Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - TAMISEMI)

​Elimu

​Sahihi ya Shahada ya Kwanza (BA in International Relations): Chuo Kikuu cha Lincoln, Uingereza (2006–2009)

​Stashahada ya Juu (Advanced Diploma in Administrative Management): Institute of Administrative Management (2009–2012)

​Shahada ya Uzamili (MSc in International Marketing): Chuo Kikuu cha Mzumbe (2012–2014)

​Uzoefu wa Kazi Sekta Binafsi.

​Kabla ya kujiunga kikamilifu na siasa na utumishi wa umma, alifanya kazi kwenye sekta ya masoko na mauzo katika makampuni mbalimbali nchini Tanzania ikiwemo Millicom (Tigo), Smile Communications, na Alosco Holdings Limited

 : Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekutana na mtoto wa kiume wa Rais Samia Suluhu Hassan, Abdul Halim Hafidh Ameir na u...
26/08/2026

: Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekutana na mtoto wa kiume wa Rais Samia Suluhu Hassan, Abdul Halim Hafidh Ameir na ujumbe wake katika Ikulu ya Entebbe. Katika chapisho lake kwenye ukurasa wa X, zamani Twitter, Museveni amesema wamejadili fursa za uwekezaji na namna sekta binafsi inavyoweza kuchangia katika ukuaji wa uchumi na maendeleo ya Uganda na Tanzania.

Nini maoni yako? 👇

Makamu wa Rais wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, ametangaza kujiuzulu wadhifa huo kuanzia Septemba 4, 2026, akisema pia ana...
25/08/2026

Makamu wa Rais wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, ametangaza kujiuzulu wadhifa huo kuanzia Septemba 4, 2026, akisema pia anastaafu siasa na utumishi wa umma.
Katika barua yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan, ambayo imechapishwa kwenye ukurasa wake rasmi, Nchimbi amesema aliwahi kuahidi kuachia nafasi iwapo Rais angehitaji Makamu mwingine. Kauli yake kwamba amejiridhisha Rais “anatamani mabadiliko” inakuja baada ya tetesi za muda mrefu kuhusu kuwapo kwa mtafaruku baina yao.
Je, ni mabadiliko gani yanayokuja katika uongozi wa Tanzania?
Hata hivyo tunaendelea kuthibitisha ukweli wa taarifa hizi.

25/08/2026
15/08/2026

Wakili, Peter Madeleka amesema tabia ya Polisi kuwatangaza Watuhumiwa kwenye Vyombo vya habari na kuwaita Wahalifu inapaswa kupigwa marufuku ili kulinda mienendo ya kesi zao Mahak**ani.



.



Credit: Maulid Kitenge

11/08/2026

Ni video ambayo inaonesha Tabasamu bashasha , ila kuna watu wanaitizama wanabubujika machozi na Hata kumuombea Afya huyu ndugu,
Clip hii ilichukuliwa miaka minne nyuma , balozi wa Tanzania Kwa mataifa yote duniani alipomtembelea Balozi wa Tanzania huko visiwa vya Cuba 22024.

08/08/2026

"Ukija nyumbani kwangu na kuiba koti langu, usiniulize k**a niko tayari kuchukua koti langu. Koti lilikuwa langu, hukuwa na haki yoyote ya kuninyang'anya." -Julius Nyerere

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:30
Tuesday 08:30 - 17:30
Wednesday 08:30 - 17:30
Thursday 08:30 - 17:30
Friday 08:30 - 17:30
Saturday 10:00 - 17:00

Telephone

+255718343168

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kiongozi Makini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kiongozi Makini:

Shortcuts

Share