Athalia Bidhaa Mchanganyiko

Athalia Bidhaa Mchanganyiko karibuni tunauza bidhaa mbali mbali kwa bei ya jumla na rejareja.

09/05/2026

Andika jina lako kwenye kofia yako ya kulalia

07/05/2026

https://wa.me/255763707722
Wale wapenzi wa wine karibuni, tuna wine nzuri sana ya roselle, wine yetu ni semi-sweet win, nikimaanisha unapata taste ya sweet kiasi na dry kiasi, karibu ujipatie yako inexperience nisemacho.

Inapatikana katika ujazo wa;
lt 5, Tsh. 35,000
mls 750, Tsh. 15,000
mls 375, Tsh. 7,000
mls 250, Tsh. 5,000
mls 200, Tsh. 3,000

Tunapatikana Dar, Arusha na Moshi.
Delivery inafanyika popote na tunauza kwa jumla na rejareja.
kwa kuweka order na mawasiliano zaidi tafadhali tupigie au tuma text wtsp 0763707722

28/03/2026

Satin bonnet, kofia za kulalia zinapatikana kwa jumla na reja reja

3in1(kofia moja ina mionekano mitatu) Tsh. 15,000
2in1(kofia moja ina valika pande mbili) Tsh. 10,000
Napatikana Goba, kwa robert, delivery ipo na mikoani tunatuma kwa uaminifu.
0763707722

Top, material sweaterTsh. 35,000
24/03/2026

Top, material sweater
Tsh. 35,000

22/03/2026

Tunakodisha na kukopesha AC

wateja wa kukopa pia hamjasahaulika, karibu tukufungie kwa Tsh. 80,000 kwa kila Ac, kuanzia AC 4 kuendelea badala ya 180,000

kwa mawasiliano zaidi tupigie
0763707722

28/02/2026

Nightdress

18/02/2026

Karibuni satin bonnets kwaajili ya kulalia.
Husaidia nywele yako kutofungamana, kutochafua mto wako, kutopata breakouts, kuipa nywele unyevu nyevu.

Za maneno Tsh. 15,000
Bila maneno Tsh. 10,000

Tunauza kwa jumla na rejareja, tunapatikana goba na mikoani tunatuma kwa uaminifu

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Athalia Bidhaa Mchanganyiko posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Athalia Bidhaa Mchanganyiko:

Share