17/05/2025
Nuia kabisa kwenda kubarikiwa kwenye kusanyiko, taka sana kufaidika na mkutano wa pamoja wa waamini... mara nyingi unapokea kila ambacho umeandaa moyo wako kupokea.
Wakati nguvu za Mungu zilikuwepo ili Yesu apate kuponya na watu wakawa wanaponywa, muda huo huo Mafarisayo walikuwa wanakwazwa.. Unaweza kwenda kanisani kuchukua makwazo.. au kuchukua uponyaji. CHAGUA VYEMA.
—Global Family Gatherings
"God's Standards"