Wa-Asili Asilia Tanzania

Wa-Asili Asilia Tanzania Tunatengeneza bidhaa za asili kwa kutumia Ngozi au Kanga/Vitenge
(Sandals, Handbags, Wallets, Shoes

Ofa ya msimu huu wa sikukuu karibu upate viatu bora vya shuleni  vilivyotengenezwa kwa ngozi halisi na soli imara kwaaji...
08/12/2021

Ofa ya msimu huu wa sikukuu karibu upate viatu bora vya shuleni vilivyotengenezwa kwa ngozi halisi na soli imara kwaajili ya mwanao wahi sasa ofa hii kwa jumla na rejareja

Tokea kijanja kwa kuvaa kiatu kizuri imera cha ngozi halisi kwa bei poa katika msimu huu wa sikukuu                     ...
04/12/2021

Tokea kijanja kwa kuvaa kiatu kizuri imera cha ngozi halisi kwa bei poa katika msimu huu wa sikukuu

💯💯gainwithillest

Mazingira sio tatizo kwenye hivi viatu atavaa popote pale bila madhara yoyote yale_ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ ...
03/12/2021

Mazingira sio tatizo kwenye hivi viatu atavaa popote pale bila madhara yoyote yale

_ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _
Please Follow👉
Please Follow👉
Please Follow👉
_ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _
💯💯gainwithillest

Hivi ndio kiboko ya wale wapiga mawe barabarani, nunua mara moja tu na usahau kununua tena mana vimetengenezwa kwa ngozi...
03/12/2021

Hivi ndio kiboko ya wale wapiga mawe barabarani, nunua mara moja tu na usahau kununua tena mana vimetengenezwa kwa ngozi halisi na soli imara
_ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _
Please Follow👉
Please Follow👉
Please Follow👉
_ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _
💯💯gainwithillest

Mazingira sio tatizo tena  wewe vaa popote paleVinapatikana kwa jumla na rejareja kwa bei nafuu sana
03/12/2021

Mazingira sio tatizo tena wewe vaa popote pale
Vinapatikana kwa jumla na rejareja kwa bei nafuu sana

Pendeza kipekee town kwa ngozi halisi na soli imara  bei ni poa sanaVinapatikana kwa jumla na reja reja
02/12/2021

Pendeza kipekee town kwa ngozi halisi na soli imara bei ni poa sana
Vinapatikana kwa jumla na reja reja

01/12/2021

Kua na muonekano bomba mjini kwa kuvaa kiatu bora cha ngozi halisi na soli imara kwa bei poa
Vinapatikana kwa jumla na reja reja

ĹADIES WHAT'S UP??? Pure leather with rubber sole DURABLE COMFORTABLE AND AFFORDABLE from WAASILI ASILIA 50,000tsh, limi...
05/10/2021

ĹADIES WHAT'S UP??? Pure leather with rubber sole DURABLE COMFORTABLE AND AFFORDABLE from WAASILI ASILIA 50,000tsh, limited stock we can deliver up to your door

02/08/2021
Karibu upate kiatu bora cha ngozi halisi kwa bei nafuu sana
29/07/2021

Karibu upate kiatu bora cha ngozi halisi kwa bei nafuu sana

Salaam Ndugu & DadaBongo reggae Family kushirikiana na Rasta Land inakuletea: Siku ya Bob Marley 2021Tarehe:15/5/2021 ju...
12/05/2021

Salaam Ndugu & Dada
Bongo reggae Family kushirikiana na Rasta Land inakuletea: Siku ya Bob Marley 2021

Tarehe:15/5/2021 jumamosi hii
Eneo: Rasta land Coco Land Ununio
Kiingilio: Buree..!
Muda: saa 1 jioni mpaka majogoo
Itaunganishwa Burudani ya muziki Mubashara na wanajeshi wa reggae ,,,,,,,,.

Selectors wakubwa watakua kwenye mashine: @mkushiselesie, , .

Washereheshaji Rasmi

Di push


Imepewa nguvu na


,

Reggae Family #
#
#

Always tupo kukupa kilocho bora mamafrika,kwa jumla na rejareja wasiliana nasi
21/04/2021

Always tupo kukupa kilocho bora mamafrika,kwa jumla na rejareja wasiliana nasi

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255713222956

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wa-Asili Asilia Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wa-Asili Asilia Tanzania:

Shortcuts

Share