Alen Textiles and Garment, embroidery and printing

25/04/2020

Pattern making, Grading/size alteration, dummy contour. Kuchora picha ya nguo kabla ya kuishona ni faida nyongeza kwenye ajira. Kupambanisha rangi za kitambaa chenye mchanganyiko wa rangi zaidi ya mbili.

13/04/2017
Nani alikwambia Tanzania hamna viwanda vya nguo? Kipo kinondoni AlenJohnson Apparel Co. Ltd.bidhaa zetu zinakidhi ubora ...
28/01/2017

Nani alikwambia Tanzania hamna viwanda vya nguo? Kipo kinondoni AlenJohnson Apparel Co. Ltd.bidhaa zetu zinakidhi ubora . Tuna mitambo ya kisasa...kwanini ujisumbue kupanda ndege kwenda kuleta nguo zinazoweza kutengenezwa hapa kinondoni? ...shtuka leta style yako tukutolee k**a ilivyo.

Heri ya mwaka Mpya 2017 . Tunapenda kuwashukuru wateja wetu kwa  kutuunga mkono kwa kununua bidhaa tunazozitengeneza hap...
01/01/2017

Heri ya mwaka Mpya 2017 . Tunapenda kuwashukuru wateja wetu kwa kutuunga mkono kwa kununua bidhaa tunazozitengeneza hapa nchini kwani "ajira ya mtanzania ni kununua bidhaa za Kitanzania". Kwa wasio tufahamu AlenJohnson ni Kiwanda pekee cha Kibongo kinachoshona jeans, tshirt, vest/singland, chupi, na bidhaa nyingi zitokanazo na vitambaa vya jersay i.e knit fabric and woven denim fabric. Pia tunauza vitambaa hivi k**a wataka kwenda kushonea utakako. Pia tuna darizi logo au jina la kampuni au biashara yako kwenye sare zako za kazi. Fika dukani Sinza mapambano au kiwandani pale Kinondoni vijana. Tupigie 0784601302 au tucheck kwenye instagram.. alenkiwia.. au parizi kwenye www.alenjohnsonapparel.com

Address

Mamba Street Kinondoni
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Alen posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category