Jitu la msitu

Jitu la msitu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jitu la msitu, Clothing Store, Dar es Salaam.

TELLING STORIES, CREATING IMPACT.
18/07/2026

TELLING STORIES, CREATING IMPACT.

Great moments are built by great people. Grateful to be surrounded by visionaries. 🤝✨  #77
11/07/2026

Great moments are built by great people. Grateful to be surrounded by visionaries. 🤝✨

#77

06/07/2026

The final product is just 10% of the story. Take a look at the late nights, endless coffee, and pure collaboration that went into our latest project

KINGS OF CONTENT MEET KINGS OF THE ROAD!Tunapenda kutoa pongezi za dhati kwa washirika wetu wakuu, GF TRUCKS & EQUIPMENT...
04/07/2026

KINGS OF CONTENT MEET KINGS OF THE ROAD!

Tunapenda kutoa pongezi za dhati kwa washirika wetu wakuu, GF TRUCKS & EQUIPMENT LTD , kwa kuibuka Mshindi wa Kwanza wa Tuzo ya Banda Bora (1st Best Banda Design) katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba (DITF 2026)! 🥇✨

Ubunifu, ukubwa, na viwango vya kimataifa mlivyoonyesha mwaka huu vimethibitisha kwa nini nyinyi ni viongozi kwenye sekta hii.

K**a Jitu La Msituni Entertainment, tulifurahi sana kuwa sehemu ya safari hii tukisimamia Media Coverage yote ya banda lenu! Kutoka kwenye ufundi wa mitambo hadi muonekano wa kipekee wa banda lenu—tumehakikisha kila sekunde inarekodiwa kwa kiwango cha juu kabisa cha kisinema nachoonekana, kusikika, na kugusa mioyo ya wateja wenu! 🎥🔥

Tunajivunia sana kufanya kazi na washindi. Hapa ni mwanzo tu wa mambo makubwa zaidi! 🥂

Monday is for strategy. Let’s collaborate and take your business to the next level.
29/06/2026

Monday is for strategy. Let’s collaborate and take your business to the next level.

20/06/2026

‎Afisa Mwakilishi kutoka bodi ya filamu Tanzania ,Mr Benedict ndani ya MY SON "Behind The Screen Tour" pamoja na wanafunzi wa Chuo kikuu Cha Dar Es Salaam UDSM idala ya Creative Arts Kuja kusupport waandaaji wa filamu na team nzima ya MY SON MOVIE

‎Usiache kutazama Filamu ya MY SON ndani ya AzamTvMax kuziona hisia, mapenzi, maamuzi mazito na ukweli wa maisha halisi! | Tunasemajeee 🎬Filamu Itambae!

‎🎙️HOSTED By: ❤️ ‘Ber oneko! ❤️
‎🔗Join The Community | Follow: SANAA PODS📺

19/06/2026
KESHO NI KESHO!“My Son: Behind The Screen Tour” ipo Sanaa Blast Festival 🎬Filamu + Q&A Session 🔥📍 UDSM, Sanaa Studio🕕 Sa...
16/06/2026

KESHO NI KESHO!
“My Son: Behind The Screen Tour” ipo Sanaa Blast Festival 🎬
Filamu + Q&A Session 🔥
📍 UDSM, Sanaa Studio
🕕 Saa 12 jioni
Bure kabisa – usikose!

Main character energy, supporting character budget.😉
30/05/2026

Main character energy, supporting character budget.😉

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jitu la msitu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category