Frida Toto Fashion

Frida Toto Fashion Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Frida Toto Fashion, Clothing (Brand), Dodoma.

Friends who became family. ❤️ Good vibes, beautiful memories, and a bond I’ll always treasure. 🥰
21/08/2026

Friends who became family. ❤️ Good vibes, beautiful memories, and a bond I’ll always treasure. 🥰

Call/whatsapp 0760999747
21/08/2026

Call/whatsapp 0760999747

Happy birthday Lorena, mama Shaa loves you so much 😘😘Hongera SAFRON C.E.O 🇹🇿Tanzanian Mungu akukuzie kipenzi❤️❤️
20/08/2026

Happy birthday Lorena, mama Shaa loves you so much 😘😘
Hongera SAFRON C.E.O 🇹🇿Tanzanian Mungu akukuzie kipenzi❤️❤️

Nina uwezo wa kutafuta hela yangu ya kula tu, lakini nachagua kupambana kila siku ili ninyi muishi maisha mazuri na muwe...
20/08/2026

Nina uwezo wa kutafuta hela yangu ya kula tu, lakini nachagua kupambana kila siku ili ninyi muishi maisha mazuri na muwe na kesho iliyo bora.

Maisha yana changamoto nyingi. Kuna wakati nachoka, kuna wakati mambo yanakuwa mazito, lakini nikiwafikiria ninyi, napata nguvu mpya ya kusimama na kuendelea. 💪🏽❤️

Maisha yamenifundisha mengi sana—watu hubadilika, mazingira hubadilika, na wakati mwingine unaweza kusikia au kupitia jambo ambalo hukuwahi kufikiria. Ndiyo maana nimejifunza kuwa imara, kulinda kile nilichokipigania na kuweka maisha yenu mbele.

Siku moja mkikua, nitawaeleza vizuri zaidi safari ya Mama, maamuzi niliyofanya na sababu ya kila nilichopigania. Kwa sasa, ninachotaka mjue ni hiki: kila ninachofanya, nafanya kwa upendo na kwa ajili ya maisha yenu ya baadaye. ❤️

Nawapenda kuliko maneno yanavyoweza kuelezea. Nimewamiss sana watoto wangu. 🥹❤️

Maisha yana surprises nyingi sana… lakini Mama ataendelea kupambana kwa ajili yenu. 😭😭😭😭😭😭
❤️❤️❤️❤️❤️

NeoCell Collagen 💗🌸 Husaidia ngozi kuwa nyororo na yenye mwonekano wa ujana✨ Husaidia kupunguza dalili za kuzeeka kwa ng...
19/08/2026

NeoCell Collagen 💗
🌸 Husaidia ngozi kuwa nyororo na yenye mwonekano wa ujana
✨ Husaidia kupunguza dalili za kuzeeka kwa ngozi
💅 Husaidia kuimarisha nywele na kucha
🦴 Husaidia afya ya viungo na mifupa
💪 Husaidia kuupa mwili protini
🇺🇸 Original kutoka USA
📍 Frida Supplements – Sinza Madukani
📞 0760 999 747

35,000/=tu
19/08/2026

35,000/=tu

vipo dukani call/whatsapp 0760999747
19/08/2026

vipo dukani
call/whatsapp 0760999747

Vipo dukani. call/whatsapp 0760999747
19/08/2026

Vipo dukani.
call/whatsapp 0760999747

call/whatsapp 0760999747
19/08/2026

call/whatsapp 0760999747

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Frida Toto Fashion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share