Asili Shop

Asili Shop Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Asili Shop, Clothing (Brand), Ilala.

15/08/2026

TSHIRT PLAIN REJAREJA ELFU 10 JUMLA PIA IPO NICHEK 0746876508 TUPO ILALA DAR ES SALAAM

05/08/2026
30/07/2026
30/07/2026

πŸ”₯ VIATU VYA NGOZI VIMEWASILI! πŸ”₯

✨ Viatu vya ngozi vya ubora wa juu kwa wanawake na wanaume.

πŸ‘  Viatu vya k**e – TSh 10,000 tu πŸ‘ž Viatu vya kiume – TSh 12,000 tu

βœ… Vya kisasa βœ… Vya kudumu βœ… Bei rafiki

🚚 Delivery ipo ndani na nje ya Dar es Salaam.

πŸ“ Tunapatikana: Ilala, 41 Tanga Street πŸ“ž 0746876508

Usikose kupata pair yako kwa bei ya kipekee. Wasiliana nasi kupitia simu au WhatsApp kuagiza sasa! 🀍

Style AffordableFashion DeliveryIpo Tanzania

17/07/2026

Mbona hii sauti k**a ya mchina wa mabibo NASHINDWA KUELEWAAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

POCHI ZIPO JAMANIII KARIBUNI SANA HUYU MCHINA ATACHOKA KUONGEA MSIPOKUJA

17/07/2026

Faida za pochi za mtumba πŸ˜‚πŸ‘œ

Unaonekana classy bila akaunti yako kulia πŸ˜…

Pochi yako inaweza kuwa ya kipekee kuliko ya rafiki zako wote.

Unapata quality nzuri kwa bei ya β€œhata sikutegemea!

Ukibadilisha pochi mara kwa mara, watu wanadhani una collection kubwa sana πŸ˜‚

Inaficha vizuri siri zako zote… pamoja na risiti usizotaka kuona.

Ni imara kiasi kwamba inaweza kubeba simu, makeup, charger na stress zako zote 😭

Bei ni rafiki, lakini muonekano ni wa β€œmadam mkubwa” ✨
Pochi za mtumba Grade One β€” TSh 15,000 tu
πŸ“ Ilala, 41 Tanga Street
🚚 Delivery ipo
πŸ“ž 0746 876 508

FashionYaBeiNafuu

Address

Ilala

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asili Shop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share