TUJUANE KWA KUCOMENT LUGHA ZAKIKWETU

TUJUANE KWA KUCOMENT LUGHA ZAKIKWETU Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TUJUANE KWA KUCOMENT LUGHA ZAKIKWETU, Design & Fashion, Ilboru.

Jibu Amen utaona maajabu utakayo tendewa na mungu kwa mtu umpendae kwa sili
20/05/2019

Jibu Amen utaona maajabu utakayo tendewa na mungu kwa mtu umpendae kwa sili

03/02/2019

JUMAMOSI HII/THIS SATURDAY.

After the HotSpring Party we link up for the after party with Tz’s youngster .
Its Feb Already... TURN UUUUUP 🔥

.tar_link

15/10/2017

Mlamke

01/09/2017

Unapodhamiria jambo kwa imani na hisia bila kuwa na shaka moyoni mwako jambo hilo limeshatendeka. Jambo lolote hufanikiwa kwenye ulimwengu uliopo ndani ya mtu kabla halijadhihirika kwenye ulimwengu wa nje unaoonekana.

Duniani kuna vitu vingi binadamu wamevifanya, mfano: ugunduzi wa ndege, umeme, kwenda mwezini, n.k. Waliofanikiwa kuyafanya hayo hawana tofauti na sisi bali waliweza kuamini dhamira zao.

Kupata uelewa zaidi Unaweza pia kuhudhuria mafunzo ya: tHL Therapy - Achana na Msongo wa Mawazo(Stress sugu)
Amua > Jifunze > Elewa > Kuwa Huru: Contacts Office: 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038 Kujiandikisha na maelezo zaidi.

Watu wengi wameshindwa kutimiza ndoto zao (na mara nyingine kutokuwa na ndoto kabisa) kwa sababu ya vifungo na mitazamo HASI ambayo imewafunga UFAHAMU. Ndani ya tHL app tuna video za UFAHAMU na makala za Jamii ambazo zimekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi.

Jinsi ya ku-install tHL app: Nenda play store/window store SERACH tHL 2.0 Revised edition kisha install. Kwa computer download hapa http://thlpc.com.

Tazama video hizi ndani ya tHL app: 8. Mitazamo HASI ndani ya mtu sharti IFE ndipo AFUFUKE mtu mpya ndani yake mwenye AMANI, FURAHA, UPENDO na AFYA NJEMA

7. HOFU, HUZUNI, CHUKI, MAUMIVU YA KIHISIA, n.k VIPO KWENYE DUNIA ILIYOPO KICHWANI MWAKO, kuachana na vitu hivyo Jibu ni moja tu: kupata UFAHAMU ambao utaibadilisha dunia iliyopo kichwani mwako KUWA CHANYA

6. Jinsi ya kutatua changamoto bila kuangukia kwenye msongo wa mawazo na maumivu ya kihisia

5. Jinsi ya kuyadhibiti MAWAZO HASI yanayomlazimisha mtu kuyawaza na asiweze kuyaacha na mwishowe kumsababishia msongo wa mawazo

4. Furaha, Amani na Upendo vimo ndani yako, Usihangaike kuvitafuta nje au kuwatwisha watu wengine mzingo wa kukupa furaha

3. Hatua CHANYA za kukabiliana na Msongo wa mawazo na Tabia HASI ndani ya mtu mwingine na jamii inayokuzunguka

2. Hatua za kuachana na Msongo wa mawazo na tabia nyingine HASI zilizopo ndani yako

1. Chimbuko la msongo wa mawazo na namna ya kuwa huru

Jinsi ya ku-install tHL app: Nenda play store/window store SERACH tHL 2.0 Revised edition kisha install. Kwa computer download hapa http://thlpc.com. Maelekezo zaidi Contacts Office: 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038

Kupata uelewa zaidi Unaweza pia kuhudhuria mafunzo ya: tHL Therapy - Achana na Msongo wa Mawazo(Stress sugu)
Amua > Jifunze > Elewa > Kuwa Huru: Contacts Office: 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038 Kujiandikisha na maelezo zaidi.

03/03/2017

JAMANI HEBU NAOMBENI MAJIBU KWENE MASWALI HAYA

1, UPENDO NI NINI....?
2, KUPENDA KUKOJE.....?
3, JE NANI ANAJUA KUMIZWA UNGONJWA WAKE.....?
4, JE ULISHA WAHI KUACHWA NAUMPENDAE...NA ULIJISIKIAJE...?
5, NANI ANAJUA KUPENDWA....?
6, JE ULISHAWAHI KUPENDA WA2 WAWILI....NA ILIKUWAJE...?
7, JE UNAJUA SILI YA KUPENDA...?
8, JE ULISHA WAHI KUMTENDA DEM WAKO NA AKAJIUWA KWAJILI YAKO....?
9, JE UKIMKUTA RAFIKIAKO WADAM. YUPO NA MKEO CHUMBANI WANAFANYA MAPENZ UTAMFANEJE.....??
10, MAPENZ NINI MBONA YANATESA WATU......?
(0) HEBU NIPENI JIBU!

02/11/2015
02/11/2015
02/11/2015

Address

Ilboru

Telephone

0767366662

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TUJUANE KWA KUCOMENT LUGHA ZAKIKWETU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share