02/05/2019
Sueli fashion and design centre tunajishulisha kudizaini na kushona nguo za Aina zote:-
>Za k**e
>Za kiume
>Za watoto
Pia tunapokea oda za kudizaini na kushona mavazi ya shughuli mbalimbali K**a vile Harusi, sendoff, sare za shule ,kwaya nk
Karibu ufurahie bidhaa bora, huduma murua !
Sueli tunasema, uaminifu ,ubora na muda ni jadi yetu