_abiolacollection

Directions

_abiolacollection Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from _abiolacollection, Fashion Designer, Kariakoo.

12/10/2026

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚50/50

10/10/2026

Unapika nini leo? ๐Ÿ˜๐Ÿฒ

Kwa hii Kenwood Pressure Cooker unaweza kupika wali, pilau, maharage, nyama ya ngโ€™ombe, kuku, mbuzi, samaki, supu, mbavu za nyama, uji wa nafaka na hata kuoka keki! ๐Ÿคฉ

Unataka kuchemsha maharage au kupika nyama bila kukaa jikoni muda mrefu? Hii inakurahisishia kazi kabisa.

โœ… Ina vitufe tofauti vya kupikia vyakula mbalimbali.
โœ… Ina sehemu ya kuweka chakula kwenye joto baada ya kuiva.
โœ…Ina sufuria 2

PRICE 120000 tuu
Punguza kazi za jikoni, furahia mapishi yako! โค๏ธ

๐Ÿ“Ipate Sokoni Electronics.|Masasi na Likoma

09/10/2026

Fridayyyyyyyyy

08/10/2026

Hoffman garment steamer 150000

05/10/2026
03/10/2026

Umeipenda bidhaa yetu lakini changamoto ni pesa? ๐Ÿ˜ฉโค๏ธ

Sasa unaweza kulipa kidogo kidogo! ๐Ÿ”ฅ

Lipa 2,000/= kwa siku kwa siku 50, jumla 100,000/=, kisha unachukua bidhaa zako. ๐Ÿ›๏ธ

๐Ÿ‘‰ Umeipenda bidhaa ya chini ya 100k? Hakuna shida! Chagua bidhaa nyingine au ongeza bidhaa mpaka shopping yako ifikie 100,000/= au zaidi.

Anza kulipa kidogo kidogo leo, usikose bidhaa unayoipenda kwa sababu ya pesa ya leo. โค๏ธ

๐Ÿ“ฒ Tuandikie WhatsApp 0740964343 kwa maelezo zaidi.

02/10/2026

Hoffman Garment Steamer 2-in-1 โ€” 2000W, ujazo 2 Litres ๐Ÿ’จโœจ

โœ”๏ธ Inapiga pasi vizuri
โœ”๏ธ 2-in-1 kwa matumizi tofauti
โœ”๏ธ Ujazo mkubwa wa 2L
โœ”๏ธ Warranty ya mwaka 1 ๐Ÿ›ก๏ธ

๐Ÿ’ฐ BEI: 150,000/=

๐Ÿ“ Sokoni Electronics -Kariakoo Masasi na likoma
Whatsapp 0740964343

01/10/2026

Kwa 65000 tuu Na halichagui sufuria

Waraanty miezi 36 yaani miaka 3

๐Ÿ“ŒUmeipenda bidhaa yetu lakini changamoto ni pesa? ๐Ÿ˜ฉโค๏ธ

Usijali! Sasa unaweza kulipa kidogo kidogo โ€” 2,000/= kwa siku kwa siku 50, halafu ukishamaliza malipo unakuja kuchukua bidhaa yako. ๐Ÿ”ฅ

Unachotaka, tunakusaidia kukifikia hatua kwa hatua. ๐Ÿ›๏ธโœจ

๐Ÿ“ฒ Tuandikie WhatsApp kwa maelezo zaidi.0740964343

A STRONG WOMAN STANDS UP FOR HER SELF,A STRONGER WOMAN STAND UP FOR EVERYBOD ELSE๐ŸŒนHAPPY WOMENS DAY๐ŸŒน
08/03/2026

A STRONG WOMAN STANDS UP FOR HER SELF,A STRONGER WOMAN STAND UP FOR EVERYBOD ELSE

๐ŸŒนHAPPY WOMENS DAY๐ŸŒน

Hujachelewa bado zipo 50000 tuu
02/03/2026

Hujachelewa bado zipo
50000 tuu

Address

Kariakoo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when _abiolacollection posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share