Sinema Kiganjani 2

Sinema Kiganjani 2 Bonyeza link๐Ÿ‘‡kudownload movies
www.sinemakiganjani.com

Water Gate Bridge ni muendelezo wa filamu maarufu ya vita kutoka Uchina inayoelezea matukio ya Vita vya Korea (1950โ€“1953...
11/08/2026

Water Gate Bridge ni muendelezo wa filamu maarufu ya vita kutoka Uchina inayoelezea matukio ya Vita vya Korea (1950โ€“1953).
Hadithi kwa Ufupi:
Baada ya mapambano makali kwenye Bwawa la Changjin , wanajeshi wa China kutoka kikosi cha saba 7th Company kipindi mapigano yanaendelea maadui wanaona hii ngoma nzito marekani na washirika wake wanaamua kuacha ndala kukimbia hapo ndipo jeshi la china linaambiwa na mak**anda wakuu waaharibu daraja la kimkakati la Water Gate Bridge.
Daraja hili ndilo njia pekee kuu inayotumiwa na majeshi ya Marekani na Muungano (UN) kurudi nyuma na kukimbia mashambulizi. Wanajeshi wa China wanapaswa kulipua daraja hilo mara kwa mara ili kuzuia adui asitoroke, huku wakipambana na hali ya hewa ya baridi kali kupita kiasi, ukosefu wa chakulaโ€ฆโ€ฆโ€ฆ
Afe kipa afe beki lazima kieleweke humuโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆ.

๐Ÿ”ฅ Ukihitaji kudownload full movie๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ‘‰ Nenda kwenye sehemu ya comment, utakutana na link ya kudownload movie hii
๐ŸŽ™๏ธ Imetafsiriwa Kiswahili na DJ Mack ๐ŸŽง๐ŸŽฌโœจ

๐Ÿ’ฌ Kwa msaada zaidi, tutumie ujumbe WhatsApp: 0768404079 ๐Ÿ“ฒ๐Ÿ’ฌ

Hii ni filamu inayohusu oparesheni ya kweli ya kijeshi ya Marekani iliyopewa jina la "Operation Red Wings" nchini Afghan...
25/07/2026

Hii ni filamu inayohusu oparesheni ya kweli ya kijeshi ya Marekani iliyopewa jina la "Operation Red Wings" nchini Afghanistan mwaka 2005.

Makomandoo wanne wa kikosi maalum cha Navy SEALsโ€”Marcus Luttrell, Michael Murphy, Danny Dietz, na Matthew Axelsonโ€”wanatumwa kwenye milima mikali ya Mkoa wa Kunar kwa dhamira moja tu: kumtafuta na kumwangamiza kiongozi hatari wa kundi la Taliban, Ahmad Shah.

Mambo yanaharibika vibaya pale ambapo wakiwa wamejificha milimani, wanagundulika kwa bahati mbaya na wachungaji watatu wa mbuzi wa eneo hilo, akiwemo mtoto mdogo. Baada ya mjadala mkali wa kimaadili k**a wawaue au wawajeruhi au wawaache huru, wanaamua kufuata sheria za vita na kuwaachia.

Uamuzi huo unakuwa mwanzo wa janga. Wachungaji wale wanakimbia na kutoa taarifa kwa wapiganaji wa Taliban. Ndani ya muda mfupi, makomandoo hao wanne wanajikuta wamezingirwa na makumi ya wapiganaji wenye silaha nzito. Wakiwa hawana mawasiliano ya simu wala msaada wa karibu, vita vikali vya kukata na shoka vinaanza kando ya maporomoko ya mawe.

K**a wewe unapenda movie za kivita hii usipange kuikosa.

๐—จ๐—ธ๐—ถ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜๐—ฟ๐—ฒ๐—น๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฒ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐—ฑ๐—ผ๐˜„๐—ป๐—น๐—ผ๐—ฎ๐—ฑ ๐—ณ๐˜‚๐—น๐—น ๐—บ๐—ผ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฒ ๐—ฏ๐—ผ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ธ ๐—ป๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ผ๐—ถ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ฒ๐—ต๐—ฒ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฐ๐—ผ๐—บ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐˜.

๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿฒ๐Ÿด๐Ÿฐ๐Ÿฌ๐Ÿฐ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿต

Hii ni filamu ya kivita inayotokana na tukio la kweli, ikifuatilia kundi dogo la askari waliolazimika kupambana dhidi ya...
25/07/2026

Hii ni filamu ya kivita inayotokana na tukio la kweli, ikifuatilia kundi dogo la askari waliolazimika kupambana dhidi ya maelfu ya maadui huku wakitetea nafasi yao bila kukata tamaa. Ni simulizi iliyojaa mapigano makali, ujasiri, na maamuzi magumu ya maisha na kifo.

K**a unapenda movies za vita zenye action kali, msisimko kuanzia mwanzo hadi mwisho, basi Danger Close ni filamu ambayo hupaswi kuikosa

๐—ž๐˜‚๐—ฑ๐—ผ๐˜„๐—ป๐—น๐—ผ๐—ฎ๐—ฑ ๐—ณ๐˜‚๐—น๐—น ๐—บ๐—ผ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฒ ๐—ฏ๐—ผ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ธ ๐—ป๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ผ๐—ถ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ฒ๐—ต๐—ฒ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฐ๐—ผ๐—บ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐˜.

๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿฒ๐Ÿด๐Ÿฐ๐Ÿฌ๐Ÿฐ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿต

Ukiachana na sodoma na gomola ili ndiyo pigo la hivi karibuni lilioikumba dunia kwenye ardhi ya iliyokua ikifanya mabaya...
23/07/2026

Ukiachana na sodoma na gomola ili ndiyo pigo la hivi karibuni lilioikumba dunia kwenye ardhi ya iliyokua ikifanya mabaya mengi ni ishara ya maovu yakizidi majanga ya asili lazima yaongezeke.
Tujikumbushe kidogo kupitia hii movie
kuipata full bonyeza link iliyopo kwenye sehemu ya comment

22/07/2026

Kaylee Hottle,ndiyo mtoto aliyefariki ambaye amecheza hii movie alifanya kazi nzuri sana ila jana amefariki kwa ajali mbaya ya gali, Kitu ambacho wengi pia hawakijui huyu mtoto ni kiziwi ila amefanya kazi kubwa sana kwenye hii movie chukua nafasi kutazama

Kudownload full movie bonyeza link iliyopo kwenye sehemu ya comment.

Kwa msaada zaidi ni whatsapp 0768404079

Siku moja, tukio la ajabu la kiasili linatokea duniani kote na kuharibu vifaa vyote vya kielektroniki. Lakini hilo halik...
21/07/2026

Siku moja, tukio la ajabu la kiasili linatokea duniani kote na kuharibu vifaa vyote vya kielektroniki. Lakini hilo halikuwa jambo baya zaidiโ€”tukio hilo linawapora wanadamu wote uwezo wa kulala. Kutosinzia kunasababisha watu kuanza kuchanganyikiwa, kupoteza akili, na hatimaye viungo vyao kufeli na kufa.

Katikati ya machafuko haya, Jill mama na askari wa zamani, anagundua siri ya kushangaza: binti yake mdogo, Matilda, ndiye mtu pekee duniani anayeweza kulala!

Huku muda ukikimbia na ulimwengu ukitumbukia kwenye ghasia za watu waliovurugika akili kwa kukosa usingizi, Jill lazima amlinde binti yake dhidi ya serikali, wanasayansi, na majirani waliokata tamaa wanaotaka kumtumia Matilda k**a tiba ya kujiokoa nafsi zao.

Mwisho wa Kutisha... na Fumbo Kubwa:

Je, Jill ataweza kumfikisha binti yake mahali salama kabla yeye mwenyewe hajapoteza akili na kufa kwa kukosa usingizi? Na je, siri halisi ya kwa nini Matilda pekee ndiye anayelala ni ipiโ€”na inawezekana ikawa ndiyo funguo pekee ya kuokoa ubinadamu usitoweke kabisa?

Hii filamu imetafasiriwa kiswahili na djmack
Kuipta full movie nenda sehemu ya comment kuna link nimeiweka kaibonyeze utaweza kudownload full movie.

kwa msaada zaidi whatsapp 0768404079

Ni filamu yenye hisia nzito na inayokaza tumbo, inayoelezea ukweli mchungu wa vita vya wenyewe kwa wenyewe barani Afrika...
21/07/2026

Ni filamu yenye hisia nzito na inayokaza tumbo, inayoelezea ukweli mchungu wa vita vya wenyewe kwa wenyewe barani Afrika kupitia macho ya mtoto.

Filamu hii imebeba kisa ca kuuzunisha cha kijana mdogo aitwaye Agu, mtoto anayependa michezo na familia yake katika kijiji kimoja tulivu. Amani ya maisha yake inasambaratika ghafla wakati vita vinapoingia kijijini hapo. Baada ya kushuhudia baba yake na kaka yake wakipigwa risasi na kuuawa kimakosa na wanajeshi wa serikali, Agu anafanikiwa kukimbilia msituni akiwa peke yake, akiwa na hofu na simanzi kubwa.

Akiwa katikati ya msitu, anajikuta mikononi mwa kikundi cha waasi kinachoongozwa na Commander kiongozi mlafi wa madaraka, mwenye ushawishi mkubwa na mkatili.

Ili kubaki hai, Agu analazimishwa kujiunga na jeshi hilo la waasi yeye akiwa mtoto Polepole, kupitia kuoshwa akili, kupewa dawa za kulevya, na vitisho, Agu anavuliwa utoto wake na kubadilishwa kuwa askari hatari anayeshika shoka na bunduki kufanya unyama wa kutisha ambao hakuwahi hata kuufikiria.

Kwa Nini Unapaswa Kuitazama?

K**a unatafuta filamu inayogusa mifupa ya moyo, yenye uigizaji wa kiwango cha juu sana na inayokupa picha halisi ya athari za vita visivyokuwa na huruma, Beast of No Nation ni kazi ya sanaa usiyoweza kuipita. Itafute leo ujionee mwenyewe safari hii ya kuvunja moyo kutoka kwenye utulivu wa mtoto hadi kwenye giza nene la vita!

Hiii movie imetafasiriwa na Djmack

Kuipata full movie bonyeza link iliyopo kwenye sehemu ya comment.
Mawasiliano ni whatsapp 0768404079

Filamu hii inahusu mkasa wa binti Sira, msichana mchanga kutoka jamii ya wafugaji wa Kifulani katika ukanda wa Sahel, Af...
21/07/2026

Filamu hii inahusu mkasa wa binti Sira, msichana mchanga kutoka jamii ya wafugaji wa Kifulani katika ukanda wa Sahel, Afrika Magharibi. Wakiwa safarini kwenda kufanya harusi yake, familia yake inavamiwa ghafla na kundi la wanamgambo wenye msimamo mkali wa kidini na kuuwa familia yake yote.

Baada ya msiba huo mkubwa na kupitia ukatili wa kutisha, Sira anatekwa nyara na kubakwa kitendo ambacho kinapelekea bikira yake aliyoitunza kwa muda mrefu kuondolewa na watekaji wakamuacha afe katikati ya jangwa lenye joto kali. Kil

Lakini badala ya kukata tamaa au kusubiri kuokolewa, Sira anafanya jambo lisilotarajiwa: anajificha karibu kabisa na kambi ya maadui zake. Kutoka hapo jangwani, kwa kutumia akili, ujasiri, na kiu ya kulipiza kisasi, Sira anaanza kupanga mpango kuwasambaratisha watekaji wake mmoja baada ya mmoja.

Je, ataweza kusalimika?
Katika ulimwengu uliotawaliwa na bunduki na ukatili wa wanaume, msichana huyu mmoja anathibitisha kuwa silaha hatari zaidi si risasi... bali ni dhamira ya mwanamke aliyenyang'anywa kila kitu.

Ili kushuhudia jinsi Sira anavyogeuza hatari kuwa ushindi na kupigania utu wake katikati ya jangwa hatariโ€”itafute na uitazame filamu hii leo! Ni simulizi ya kusisimua, yenye hisia kali.

Hii movie imetafasiriwa na djmack
Kudownload full movie bonyeza link iliyopo kwenye sehemu ya comment.

Ni filamu ya kweli inayosisimua, kuisikitishaFilamu hii inahusu vijana tisa kutoka Ghana wanaojificha kwa siri (stowaway...
21/07/2026

Ni filamu ya kweli inayosisimua, kuisikitisha

Filamu hii inahusu vijana tisa kutoka Ghana wanaojificha kwa siri (stowaways) ndani ya meli ya mizigo ya Kirusi iliyokuwa inatoka nchini Liberia kuelekea Ufaransa, wakitafuta maisha bora barani Ulaya.

Amani na matumaini yao yanageuka kuwa ndoto ya kutisha punde tu wafanyakazi wa meli hiyo wanapowagundua. Badala ya kuwaripoti kwenye mamlaka husika, nahodha na wafanyakazi wakeโ€”kwa hofu ya kupigwa faini kubwa na kupoteza kazi zaoโ€”wanachukua uamuzi wa kinyama na wa kutisha: kuwasaka na kuwaua mmoja baada ya mmoja katikati ya bahari kuu,
K**a unapenda filamu zinazoweka roho mkononi, zenye hisia nzito na zinazotokana na matukio ya kweli yaliyowahi kutikisa ulimwengu, Deadly Voyage ni filamu ambayo hutatakiwa kabisa kuikosa
safari ya kwenda kutafuta maisha inageuka na kuwa safari ya kifo ipi ilikua hatma yao??

Hii movie imetafasiriwa na DJMACK
Ukihitaji kuitazama full movie bonyeza link iliyopo kwenye sehemu ya comment.

Kwa msaada zaidi ni whatsapp 0768404079 au 0687707294

Filamu ya Desert Warrior inasimulia hadithi ya kihistoria inayofanyika katika karne ya saba huko Arabia, ambapo amani ya...
20/07/2026

Filamu ya Desert Warrior inasimulia hadithi ya kihistoria inayofanyika katika karne ya saba huko Arabia, ambapo amani ya eneo hilo inatishwa na Mfalme katili Kisra. Mzozo mkuu unaanza pale binti wa kifalme shupavu, Hind, anapokataa kuolewa na Kisra, hatua inayomlazimu kukimbilia jangwani ili kuokoa maisha yake na kulinda heshima ya watu wake dhidi ya uvamizi. Akiwa uhamishoni jangwani, anakutana na shujaa wa ajabu na wa siri mwenye ujuzi mkubwa wa mapambano. Kwa pamoja, wawili hao wanachukua jukumu kubwa la kuhamasisha na kuunganisha makabila mbalimbali ya jangwani yaliyokuwa yakizozana, ili kuunda jeshi moja imara litakalosimama kidete kupambana dhidi ya jeshi kubwa la mfalme huyo dhalimu na kuleta ukombozi.
Hind na shujaa huyo wa siri wanageuza jangwa kuwa uwanja wao wa vita.
Kila sekunde ya filamu hii imejaa mapigano ya panga ya kukata na shoka, usaliti wa kushtukiza, na picha zenye kustaajabisha za jangwani zitakazokufanya usichezeshe jicho. K**a unapenda hadithi za ushujaa wa kweli, mapambano ya kimkakati, na hisia kali za kusisimua, hii ni filamu ambayo hupaswi kabisa kuikosa!
IMETAFASIRIWA KISWAHILI NA DJ MACK

K**a unahitaji full movie bonyeza link iliyopo kwenye sehemu ya comment.
Mawasiliano ni whatsapp 0768404079

Address

Kibaha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sinema Kiganjani 2 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share