Fahariyamtoto

Fahariyamtoto JIPATIE MAHITAJI YOTE YA WATOTO WADOGO KUTOKA KUZALIWA HADI MIAKA 10 (INFANTS AND KIDS) NA MAMA WAJAWAZITO, TUNAPATIKANA KIBAHA, KWA MATHIAS. KARIBUNI

28/08/2026

Vyote vinapatikana Fahari ya mtoto✍🏻
Kibaha-kwa mathias✍🏻
Centre of excellency✍🏻
Calls/watsup +255654671405/+255760141281

28/08/2026

Tunazo models nzuri sana za magari✍🏻
Kuna ya kucharge,ya kutumia remote,betri✍🏻
Kuna magari ya robbort,ya kuslide✍🏻
Ni imara sana na ni matoleo ya kisasa yenye mwendo wa kasi✍🏻
karibuni sana🗣️

23/08/2026

Baby walker!
Humsaidia mtoto kujifunza kutembea pasipo kuumia huku akifurahia pia nyimbo mbalimbali✍🏻
Anaweza pia kutumia akiwa nje maana ina mwamvuli wa kuzuia jua✍🏻
Karibuni sana👌

21/08/2026

Hello wapendwa wetu!
Tumewaletea basin nzuri sana👌
Kuna material ya silicone ambayo inakunjika na haivunjiki✍🏻
zipo basin zinazotoa maji machafu kwa urahisi pasipo kunyanyua basin✍🏻
Zipo zenye set ya vifaa vidogo vidogo k**a ndoo,kopo la maji na basin dogo✍🏻
Karibuni sana🗣️

20/08/2026

3piece baby boys
Tsh 55,000-65,000/=✍🏻
Size:3months-3years✍🏻
Karibu sana👌

19/08/2026

Mafuta na sabuni pia zinapatikana✍🏻
Ni organic(asili-isiyo na kemikali)✍🏻
Inalinda na kuipa mng’ao wa asili ngozi ya mtoto✍🏻
Ni tiba pia kwa ngozi kavu,yenye muwasho na vipele✍🏻
Karibuni sana👌

19/08/2026

Godoro na neti✍🏻
Imara sana na zenye mwonekano mzuri
Godoro ni pana na lenye ujazo mzuri usiomuumiza mtoto mgongo/viungo✍🏻
Kuna zenye godoro,neti na mto✍🏻
Bei:15,000-65,000/=✍🏻
Karibuni sana👍

16/08/2026

Hello dears!
Karibuni sana baiskeli kwa ajili ya kuimarisha miili na kuwa active.
Baskeli zetu ni imara sana✍🏻
Zina udhibiti mkubwa hasa kwenye mteremko na mwendo wa kasi✍🏻
Zinafanya vzur hata kwenye nyakati za mvua na sehemu zenye matope✍🏻
Hazishiki kutu✍🏻
Bei yake ni nafuu 150,000/= hadi 200,000/= kulingana na size ya baiskeli✍🏻
Tunazo pia tricycle kwa ajili ya watoto kuanzia miaka miwili zenye msaada wa tyre ya ziada itakayomsaidia mtoto kujifunza pasipo kuanguka✍🏻
Usikose dukani wahi wakati ni sasa✍🏻
Karibuni sanaaaa🗣️

Address

Kwa Mathias
Kibaha

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:30
Tuesday 08:00 - 20:30
Wednesday 08:00 - 20:30
Thursday 08:00 - 20:30
Friday 08:00 - 20:30
Saturday 08:30 - 20:00
Sunday 08:30 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fahariyamtoto posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share