FUNDI mzalendo

FUNDI mzalendo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from FUNDI mzalendo, Apparel & Clothing, Munganza, Kigamboni.

Fundi mzalendo,anatoa huduma zifuatazo,Kushona nguo zakiume,Kufundisha namuna yakushona nguo,kuuza spea za vyerehani,kubana aina mbalimbali za vishikizo,kwenye nguo za kiume nazakike,kupiga over lock

Ucku mwema
20/05/2025

Ucku mwema

Kalibu ofisini uhudumiwe kwa Bei nafu bila kujali ongezeko la Bei kwa vitu mbalimbali.
10/06/2022

Kalibu ofisini uhudumiwe kwa Bei nafu bila kujali ongezeko la Bei kwa vitu mbalimbali.

Je,ni wapi,unaweza patwa namadhara makubwa endapo utaweka imani.          Kati yakumuamini mapenzi wako aleyezaa namwing...
16/02/2022

Je,ni wapi,unaweza patwa namadhara makubwa endapo utaweka imani.
Kati yakumuamini mapenzi wako aleyezaa namwingine.
Kumuamini rafiki yako,ambaye anataka umkopeshe Milioni,wakati alikuwa jera, yupo inje kwa dhamana ya Milioni kumi.

Ni mwilimu wasomo lipi shule ya mwingi,ambaye mpakasasa hauwezi msahau?
08/02/2022

Ni mwilimu wasomo lipi shule ya mwingi,ambaye mpakasasa hauwezi msahau?

Sku ya wapendanao hiyo,kalibu ujipatie suti kwa Bei nafu,
03/02/2022

Sku ya wapendanao hiyo,kalibu ujipatie suti kwa Bei nafu,

Je,nikweri mafundi wote ni waongo?
02/02/2022

Je,nikweri mafundi wote ni waongo?

Jipatie nguo za shule kwa fundi mzalendo kwa Bei nafu,
02/02/2022

Jipatie nguo za shule kwa fundi mzalendo kwa Bei nafu,

02/02/2022

Tanganza biashara yeyote kwenye kikundi hiki ilimradi iwe Mali harali.

Wazizi na walezi mnakaribishwaKuwareta vijana wene,kwa fundi mzalendo kwaniaba ya kufundishwa Kushona nguo zakiumen,naki...
01/02/2022

Wazizi na walezi mnakaribishwa
Kuwareta vijana wene,kwa fundi mzalendo kwaniaba ya kufundishwa Kushona nguo zakiumen,nakike,kufarizi,kupiga overovk, kubana vishiko vya aina zote,kwakutumia zna za kisas

Je,mtu hupewa umarufu nawatu au kazi ndio humpa mtu umarufu?
27/01/2022

Je,mtu hupewa umarufu nawatu au kazi ndio humpa mtu umarufu?

Address

Munganza
Kigamboni
----------------

Telephone

+255621550596

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FUNDI mzalendo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share