Kigoma Fashion WEAR

Kigoma Fashion WEAR KIGOMA FASHION WEAR: Ni duka la mtandaoni kwa mahitaji yako yote ya nguo; suti za harusi, makoti, vi

28/09/2022

Kigoma Online Marketing Site:

Fashion In Town!Be Connected:
27/11/2021

Fashion In Town!
Be Connected:

25/11/2020
New Style!Fasheni mpya!
11/09/2020

New Style!
Fasheni mpya!

๐ŸŽง๐ŸŽผ๐ŸฅKina mama mpo.
07/07/2020

๐ŸŽง๐ŸŽผ๐Ÿฅ
Kina mama mpo.

Tangaza biashara yako hapa hivi karibuni:Tunajiandaa kuwaleta wateja wako ofisini kwako.Kuwa wa kwanza kututumia biashar...
14/04/2020

Tangaza biashara yako hapa hivi karibuni:
Tunajiandaa kuwaleta wateja wako ofisini kwako.
Kuwa wa kwanza kututumia biashara yako tuitangaze.
Karibuni!

MPYA YENYE MANUFAA KWAKO:Kutokana kukua kwa soko la mtandaoni na kuaminika na wateja wetu, Kigoma fashion wear tumepokea...
11/04/2020

MPYA YENYE MANUFAA KWAKO:

Kutokana kukua kwa soko la mtandaoni na kuaminika na wateja wetu, Kigoma fashion wear tumepokea maombi ya watu wengi kuhusu kutangaza soko lao au bidhaa zao hapa kwetu kwenye jukwaa letu pendwa la KIGOMA FASHION WEAR!

Uongozi wa Kigoma fashion wear umepokea maombi yenu kwa moyo mkunjufu na shukrani na tutaendelea kupokea maoni, mapendekezo na ushauri ili kuifanya Kigoma fashion wear iwe sehemu sahihi kwa matangazo yako ya kibiashara kutokana na ukweli kwamba sasa jukwaa hili linasomwa na watu wengi, linafikiwa na watu wengi zaidi kutoka nchi zote za Afrika mashariki na nyinginezo:

(i) Congo
(ii) Rwanda
(iii) Burundi
(iv) Uganda
(v) Kenya
(vi) Sudan
(vii)Tanzania

Tunajipanga kukutangazia BIASHARA yako au bidhaa zako ili upate wateja kirahisi popote ulipo, wasomaji wetu wa eneo lako au eneo ulipo watapata kwako bidhaa kirahisi pale tu utakapotangaza nasi eneo zima la Afrika mashariki.

KIGOMA FASHION WEAR NI YAKO:
ITUMIE KUKUZA BISHARA YAKO, KUPATA WATEJA KARIBU YAKO, TANGAZA NASI HIVI KARIBUNI!

11/04/2020

To marketing business and invite people who wish to advertising their goods online!

Walper's Fashion: Wapenda Mitindo_Mshono Huo!Tunawatakia Heri Katika Mwezi huu wa 3.
01/03/2020

Walper's Fashion:
Wapenda Mitindo_Mshono Huo!
Tunawatakia Heri Katika Mwezi huu wa 3.

AIR MAX!
18/10/2019

AIR MAX!

UKIPENDA MOJA YA KIATU HIKI:KARIBU SANA, UNATUMIWA POPOTE.
18/10/2019

UKIPENDA MOJA YA KIATU HIKI:
KARIBU SANA, UNATUMIWA POPOTE.

KARIBU VIATU VIZURI SANA.NJOO INBOX (BEI)TUZUNGUMZE:
18/10/2019

KARIBU VIATU VIZURI SANA.
NJOO INBOX (BEI)
TUZUNGUMZE:

Address

Kigoma

Telephone

+255727712550

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kigoma Fashion WEAR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share