MASH_STORE

MASH_STORE Mash store... Tunahusika na kuuza nguo za k**e wakubwa, ndefu na fupi. Vibanio vya nywele nk

25/08/2026

Wix lipstick available

25/08/2026
24/08/2026

Wix package available at our shop.
Ukonga Mombasa 0787327096

18/08/2026

CHUNUSI??? 😩

Chunusi ndogo ndogo, blackheads, whiteheads, chunusi za homoni, zile nyekundu zinazouma au zile zinazopenda kurudia sehemu zilezile?

Kumbuka, ngozi yenye chunusi haihitaji routine ngumu yenye bidhaa nyingi. Inahitaji routine rahisi, sahihi na yenye consistency. 🌿

RYN Essence Acne Treatment Cream yenye Centella & Tea Tree Oil inasaidia:

🌿 Kupunguza na kukausha chunusi
🌿 Kutuliza wekundu na muwasho unaotokana na chunusi
🌿 Kudhibiti mafuta mengi kwenye ngozi
🌿 Kusaidia kupunguza kutokea kwa chunusi mpya
🌿 Kutuliza ngozi yenye acne na irritation
🌿 Kusaidia ngozi kupona vizuri baada ya breakouts

Usiichoshe ngozi yako kwa bidhaa kumi wakati inaweza kuhitaji routine rahisi na yenye kueleweka.

Simple routine. Effective treatment. Consistency. 🌿🤍

50g — TSh 35,000

17/08/2026

Una mtoko!
Bhaaaas
We make you covered.

Tupo wazi
Clutch ZINAANZIA bei 25000 to 40,000.

0787327096

15/08/2026

Tafadhali Macho kwenye screen macho kwenye luninga😜.

Fascinator zipo 20,000
Cheni 10,000
Hereni 5000
Tunameremeta namna hiyo

#0787327096 #0753634475

15/08/2026

Pafyum zote zipo dukani.

Mls 50 40,000
Mls 100 60,000

15/08/2026

Morning routine na Wix products

Address

Kinondoni

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255787327096

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MASH_STORE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MASH_STORE:

Shortcuts

Share