Upendo Group Lindi

Upendo Group Lindi Upendo Tailoring Group, Lindi, Tanzania Moto wa kikundi chetu cha upendo ni (UPENDO DAIMA MILELE)

Kutoa huduma bora katika mkoa wa lindi na nje ya mkoa.

Pia kujiendeleza sisi zaidi ili tuweze kusaidia wajasiriamali wengine. HISTORIA:
Upendo group ilianza mwaka 1/03/ 2015. Ilianza ikiwa na watu watano na hadi sasa in idadi hiyo hiyo ya watu. Mafanikio tuliyoyapata katika kipindi hiki ni kuongeza wateja kwa wingi, pia tumeongeza uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. Tumejikita sana katika kushona vitenge pamoja na nguo za k**e, pia kikundi kinate

ngeneza matofali kwa ajili ya kujengea nyumba pia tunauza vyombo vya nyumbani k**a vile sahani ,vikombe na kadhalika

PRICING GUIDE:
Shirt: 10000 for ordinary, 12000 for express
Dress: 15000 for ordinary, 20000 for express
Skirt: 5000 for ordinary, 7000 for express

Address

Ndoro-Kusini
Lindi
000

Telephone

+255688423999

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Upendo Group Lindi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category