15/06/2020
OSCA MITINDO, KIJIWE CHA WAREMBO NA WATANASHATI.
Tunapenda kuwakaribisha Wateja wetu mliopo Afrika Mashariki na Kati.
Huu ni ukurasa wetu mpya kwa ajili ya kuwatangazia huduma zetu za ushonaji wa nguo.
Tunafurahia kuwa number one Afrika Mashariki na kati tukiongoza katika kuwapendezesha wanawake na wanaume. Hakika tunajivunia kushirikiana nanyi.
Pia tunawashukuru na kuwapongeza Watu mashuhuri k**a viongozi wa nchi, wanamuziki, na hata wanamichezo kwa kutuamini na kutupa nafasi ya kuwapendezesha.
Kwa wateja wapya huduma zetu ni k**a ifuatavyo;
1. Ushonaji wa nguo za k**e aina zote
2. Ushonaji wa Sare za Harusi na sherehe mbalimbali
3. Ushonaji wa Sare za shule
4. Ushonaji wa suruali za kiume aina zote
5. Ushonaji wa makoti ya suti aina zote
6. Ushonaji wa nguo za watoto
Gharama zetu ni nafuu zinazoendana na uchumi wa Wateja wetu.
Huduma zetu ni kwa nchi zote za Afrika Mashariki ikiwemo, Morogoro na Dar es Salaaam, Tanzania, Nairobi na Mombasa, Kenya. Kampala na Entebbe, Uganda. Kigali, Rwanda. Bujumbura, Burundi na Juba, Sudani ya Kusini.
Nini kinachokufanya usipendeze?
Njoo Sasa OSCA MITINDO, UdamshiII!
Wasiliana nasi kupitia namba
+255656296844 (ipo pia WhatsApp)
+255682085958
OSCA MITINDO kijiwe cha Warembo na Watanashati.