Katitu fashion

Katitu fashion - Mjasiriamali
-Mwekezaji wa Fursa
-Biashara za mabegi/nguo nafaka na vinywaji

Tabasamu ambalo haliwezi kufichwa?Haya ndiyo maisha ya mke na mume ya kweli! Sio zile story ya “baada ya ndoa mume anaba...
11/05/2026

Tabasamu ambalo haliwezi kufichwa?
Haya ndiyo maisha ya mke na mume ya kweli! Sio zile story ya “baada ya ndoa mume anabadilika.” 😌👑
Huyu alibadilika tu kuwa bora zaidi. 🥹🌹
Mungu awabariki wote wanaopendana kweli kweli. 🙏🏾❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥 na kupeana zawadi zinazoimarisha ndoa zenu!

🚗💨 Alipanda gari yake asubuhi, akanyunyiza Marshmallow Blush kidogo tu…Na saa hiyo hiyo 🤩kiti, hewa, na kila kona ya gar...
05/05/2026

🚗💨 Alipanda gari yake asubuhi, akanyunyiza Marshmallow Blush kidogo tu…
Na saa hiyo hiyo 🤩kiti, hewa, na kila kona ya gari iliingia katika ulimwengu mmoja wa harufu tamu, laini, na ya kipekee. 🌸
Sasa kila anapoingia garini, mood inabadilika. Tabasamu linakuja bila shuruti. Macho yanainuka juu. Miguu inakanyaga pedal kwa ujasiri. Kwa sababu harufu inakuambia wewe ni nani, kabla hata husemi neno watu wanajua fulani huyoooo
Hii si perfume tu. Hii ni hali ya akili. Hii ni nguvu yako ya siri. 💫
“Sweet. Soft. Unforgettable.”
Na hata gari lako litakuwa ushahidi wa hilo. 🥰

Spray on Confidence. Spray on YOU.

❤️

Kuna siku nilijiuliza…“Kwanini baadhi ya wanaume wanaingia sehemu na kila mtu anawasikiliza hata kabla hawajasema kitu?”...
27/04/2026

Kuna siku nilijiuliza…
“Kwanini baadhi ya wanaume wanaingia sehemu na kila mtu anawasikiliza hata kabla hawajasema kitu?”

Jibu nililipata polepole…
Sio pesa tu. Sio mavazi tu.

Ni harufu.

Siku nilipoanza kuleta hizi perfumes
9PM Elixir, Haramain Amber Oud, Azure Aoud…

Niliona kitu tofauti.
Wateja walirudi.
Wengine walileta marafiki zao.
Wengine waliniambia:
“Watu wananiuliza natumia perfume gani.”

Hapo ndipo nilijua…
Hizi sio kawaida.

Hizi ni OG scents.
Zinabaki. Zinakumbukwa. Zinazungumza kabla yako.

Yesu amefufuka kweli.🤩😇😇🔥 ikiwa umekombolewa andika Halleluyah🥰.
05/04/2026

Yesu amefufuka kweli.🤩😇😇🔥 ikiwa umekombolewa andika Halleluyah🥰.

The wait is almost over. 🔥KATITU ESSENTIALS is opening and we are not coming quietly 🤩❤️‍🔥💥🌺Luxury perfumes. Curated gif...
28/03/2026

The wait is almost over. 🔥
KATITU ESSENTIALS is opening and we are not coming quietly 🤩❤️‍🔥💥🌺
Luxury perfumes. Curated gift sets. Premium essentials. All in one place, right here in Tunduma and Nakonde, with delivery available online.
This is the store you did not know you were waiting for until now.
📍 Find us in Tunduma · Nakonde · Tanzania
🛒 Online orders available
📲 Follow. Save this post. Tell a friend.
We open soon, and the first customers will have first access to exclusive arrivals. 👑

🇿🇲

21/02/2026

Watu wengi huanza skincare kwa cream.
Wataalamu huanza kwa ulinzi wa ngozi.

Ukweli usioambiwa mara nyingi:
matatizo mengi ya ngozi si kutokana na cream — ni kutokana na jua.

Melanin hupunguza athari za jua, lakini hailindi ngozi kikamilifu.
Ndiyo maana wengine hupata mabaka, wekundu au kung’aa kisha kuwa weusi tena bila kuelewa sababu.

Kanuni rahisi ya ngozi yenye afya:
tibu ngozi usiku, linda ngozi mchana.

Ngozi yako ni reflection ya discipline yako.Watu wengi wanafunga lakini hawajui wanaharibu ngozi zao kila usiku.Unashind...
19/02/2026

Ngozi yako ni reflection ya discipline yako.Watu wengi wanafunga lakini hawajui wanaharibu ngozi zao kila usiku.

Unashinda siku nzima bila maji…
halafu unarudi kula sukari, mafuta na kulala bila kuosha uso.

Halafu unasema:
“Ramadhani/ Mfungo unanipa chunusi.”

Mwezi mtukufu haukupi chunusi.
Lack of discipline inakupa.

Save hii.
Week 1 tunaanza Skin Reset.Follow k**a unataka kujifunza skincare kwa akili sio mihemko.
゚viralシ

Katitu Global ni mshirika wa kitaifa wa usambazaji wa bidhaa za Skincare na Whitening za bei nafuu zenye mzunguko mkubwa...
14/02/2026

Katitu Global ni mshirika wa kitaifa wa usambazaji wa bidhaa za Skincare na Whitening za bei nafuu zenye mzunguko mkubwa.

Tunafanya kazi na retailers wa jumla Tanzania nzima.

Hii page ni kwa wafanyabiashara wanaotaka kuongeza volume ya mauzo yao.

Bulk only.
Professional only.

📩 DM kuanza ushirikiano.

Address

Mbeya
255

Telephone

0628435097

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Katitu fashion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share