Challu classic wear

Challu classic wear Kwa nguo kali na za kisasa kabisa aina zote tembea challu classic wear waliopo chunya mbeya au tembelea www.allychallu.simplesite.com

10/08/2016

Tumia simu yako kwa manufaa ya
kujitengenezea kipato kwa wewe
uliyeko nyumbani bila Ajira,Upo
Chuoni au Shuleni huna pesa ya
matumizi upo kazini mshahara
hautoshi Karibu ujifunze namna ya
kuitumia 20000/- tu kujitengenezea
kipato cha kudumu na kuwa tajiri
Unakaa na simu unakosa pesa kweli?
Njoo nikufundishe jinsi simu yako
inavyoweza kukunufaisha na kutoka
kwenye Umasikini.

WhatsApp 0755310792

22/07/2016

CROWD RISING

Huu ni mfumo wa kusaidiana kuinuana wananchi kiuchumi kutoka ktk umasikini uliokithiri.

Mfumo huu unatumika dunia nzima na ulianza rasmi June 2016 huko Canada.

Nia hasa ni kuwa na utaratibu wa kuwezeshana sisi wa hali ya chini ili kila mmoja anufaike na kupunguza huu umasikini uliyopo.

Mfumo huu ni salama na hakuna mtu anayeshika fedha zako. Kila mmoja anatakiwa kutunza fedha zake.

Ili kuwa mwanachama ktk mfumo huu, unatakiwa kumsaidia anayekuunganisha kwa kumpata 20,000/- tu. Kisha anakupa link ambayo utajaza taarifa zako humo.

Baada ya hapo utatakiwa kujaza taarifa za akaunti ambayo ungependa fedha zako ziingie humo. Hapa huwa wanashauri kwa sisi Watanzania kujaza k**a ni tigopesa au mpesa au airtelmoney ili iwe rahisi kutumiwa fedha.

Baada ya kujiunga na kujaza taarifa zako muhimu, anayekuunganisha atapata ujumbe ktk mfumo huo unaotumia mtandao ukimtaka kukuingizi ktk mfumo na kuanza daraja la 1.

Mfumo huu una madaraja 15. Kila daraja lina faida yake na kadiri unavyopanda daraja ndipo faida unaziona zaidi.

FAIDA

Ili kuingia daraja la 1, unatakiwa kumtumia anayekuunganisha 20,000/- kisha na wewe unakuwa na uwezo wa kuanza kuunganisha watu. Mfumo unamtaka kila aliye ktk daraja 1 awaingize watu 5 tu.

Hao watu 5 kila mmoja utamuingiza ktk mfumo na atakulipa moja kwa moja ktk aidha tigopesa au mpesa au airtelmoney yako uliyojaza ktk mfumo (system) hii. Hapo utapokea 20,000 x 5 = 100,000/- tasilimu. Hapa utakuwa umepata faida ya 80,000/- kamili.

Ili kuingia daraja la 2 utatoa 40,000/- toka ktk faida yako na kumchangia mtu wa juu ili akupandishe daraja. Hapa haumpi yule aliyekuingiza bali unampa yule aliyemuingiza aliyekuunganisha wewe. Yaani k**a aliyekuunganisha ni mama basi unampa bibi (aliyemuingiza mama).

Ktk daraja la 2 unatakiwa kuwasaidia uliowaunga (watoto wako 5) ambao wamekichangia wewe 20,000/- awali ili watimize watu 5 kila mmoja. Jumla ni watu 25. Hawa wajukuu zako watakuwa daraja la 1 na wakitaka kupanda daraja watakulipa wewe babu/bibi 40,000/- kila mmoja k**a wewe ulivyomlipa bibi yako hapo awali.

Hivyo wajukuu 25 x 40,000 = 1,000,000/- tasilimu utapata.

Baada ya wajukuu zako kutimia 25, mfumo utakutaka upande daraja 3. Kuingia daraja la 3 utamchangia aliyemuingiza babu/bibi yako ktk mfumo na hapa utampa 100,000/- tu. Na utatoa ktk 1,000,000/- uliyoipata toka kwa wajukuu zako.

Ktk daraja la 3 utatakiwa kushirikiana na watoto wako, wajukuu zako ili kila mjukuu apate watoto 5. Wajukuu wapo 25 na kila mmoja akiwa na watoto 5 inamaana utakuwa na vitukuu 125. Hawa vitukuu ili waje kupanda daraja la 2 hapo baadae watakulipa wewe 100,000/- kila mmoja ili uwapandishw daraja k**a wewe ulivyomlipa aliyemuingiza babu/bibi yako. Jumla utapokea 125 x 100,000 = 12,500,000/- tasilimu.

Baada ya hapo utapanda daraja la 4 na kuendelea. Hadi kufika daraja la 15.

Nadhani umepata picha hapo, ni faida lukuki. Mfumo ndio kwanza mpya na watu dunia nzima wanajiunga kwa kasi hivyo wahi kuwa wa kwanza kwanza ili kunufaika mapema.

Kwa sasa mfumo haujafikisha watu 100,000 duniani kwani ndio kwanza una muda kadhaa.

Kumbuka hakuna anayemshikia mtu fedha na system inatumika kukupandisha daraja tu. Hauichangii chochote. Mtaji ni 20,000/- tu hakuna ziada kutoka mfukoni kwako. Fedha zote utapokea moja kwa moja kwa njia utakayomwambia unayemuunganisha aitumie.

Kufahamu zaidi wasiliana na aliyekupa taarifa hizi.

KARIBU TUPUNGUZE UMASIKINI TANZANIA.

16/10/2014

karibuni wateja mali mpya zimeingia,tembelea CHALLU CLASSIC

14/09/2014
09/09/2014

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Challu classic wear posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share