24/07/2026
🔥 MRADI MPYA WA VIWANJA VIKINDU–MAROGORO 🔥
Jumamosi hii tunafungua rasmi mradi wetu mpya wa viwanja Vikindu–Marogoro 🏡✨
Njoo ujionee eneo, uchague kiwanja unachokipenda na upate maelezo yote moja kwa moja. Usisubiri mpaka viwanja vizuri vichukuliwe na wengine!
📅 Jumamosi
⏰ Saa nne kamili asubuhi
📍 Makutano: Ofisini kwetu Vikindu, barabara ya kuelekea Kazole
📞 Piga simu: 0765 847 979
Ardhi ni uwekezaji wa kudumu. Njoo uchukue hatua ya kumiliki kiwanja chako! 🔑🏠