Ambro Fashion

Ambro Fashion Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ambro Fashion, Clothing (Brand), Mpwapwa.

Tanzania yote inauliza...๐Ÿ G.O.A.T 1966 ni nini?๐Ÿ“ Zizini๐Ÿ—“๏ธ 09.06.26Majibu yanakuja...๐Ÿšง
08/06/2026

Tanzania yote inauliza...

๐Ÿ G.O.A.T 1966 ni nini?

๐Ÿ“ Zizini
๐Ÿ—“๏ธ 09.06.26

Majibu yanakuja...
๐Ÿšง



LEVO SITI HAMNA MTU KUSIMAMA...MACHO KWENYE STAGE...
04/06/2026

LEVO SITI HAMNA MTU KUSIMAMA...
MACHO KWENYE STAGE...

Dunia inatufundisha ukatili kila siku....Kiasi kwamba hata ukikutana na kitu au mtu mwema unahisi ni MTEGO....
13/05/2026

Dunia inatufundisha ukatili kila siku....
Kiasi kwamba hata ukikutana na kitu au mtu mwema unahisi ni MTEGO....

Sisemi kalio na Sura sio vitu vizuri ila vikiwa ndio msingi wa kumtafuta mke basi utaketi....Vitakavyo kufanya udumu kwe...
11/05/2026

Sisemi kalio na Sura sio vitu vizuri ila vikiwa ndio msingi wa kumtafuta mke basi utaketi....
Vitakavyo kufanya udumu kwenye ndoa sio kalio wala sura, Bali tabia na akili zake.
Sasa wewe komaa na kalio.

Mshukuru Mungu kwa kila jambo....
11/05/2026

Mshukuru Mungu kwa kila jambo....

04/05/2026

NI BALAAAAAA

Kuna wakati watu hawana shida..Wanasubiri uanze wakusapoti....Ujipende wakupende...Ukimbie wakupe maji....Uonyeshe ndo w...
18/04/2026

Kuna wakati watu hawana shida..
Wanasubiri uanze wakusapoti....
Ujipende wakupende...
Ukimbie wakupe maji....
Uonyeshe ndo wakufuatilie....
Na ushinde ndo wakufuate....
Ukubwa wa picha ya ndoto yako unayo wewe mwenyewe, Amka anza kidogo kidogo.

Yes, chama langu   tulikiamsha KILL MARATHON 2026 Moshi kilimanjaro Km 21 za kibabe.....   @
24/03/2026

Yes, chama langu tulikiamsha KILL MARATHON 2026 Moshi kilimanjaro Km 21 za kibabe.....


@

Vibe la Kill Marathon 2026 Moshi Kilimanjaro
24/03/2026

Vibe la Kill Marathon 2026 Moshi Kilimanjaro

Ni miaka 7 tangu Jasiri Muongoza Njia, Ruge Mutahaba atangulie mbele ya haki.Asante kwa kuifungua Dunia na kuchonga bara...
26/02/2026

Ni miaka 7 tangu Jasiri Muongoza Njia, Ruge Mutahaba atangulie mbele ya haki.
Asante kwa kuifungua Dunia na kuchonga barabara za vijana wengi ambao kupitia maono yako wanaendelea kunyoosha.

Daima utaishi ndani yetu, tunaendelea kusherekea maisha yako RUGE MUTAHABA.

Address

Mpwapwa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ambro Fashion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ambro Fashion:

Shortcuts

Share