Sophyproduct

Sophyproduct www.Sophy product.com

Siagi ya korosho ipo napokea oda.0656601523
04/02/2022

Siagi ya korosho ipo napokea oda.

0656601523

Karb Sophyproducts tukuhudumie siagi ya korosho Kwa Bei nafuu sana. Tuanauza jumla na rejereja,Tunatuma mikoa yote Kwa u...
04/02/2022

Karb Sophyproducts tukuhudumie siagi ya korosho Kwa Bei nafuu sana.
Tuanauza jumla na rejereja,
Tunatuma mikoa yote Kwa uamunifu mkubwa.

Bei zetu 400g@10,000

Tunapatikana Rahaleo Complex Ground floor karb na CRDB BANK - Mtwara.

Instagram: Sophyproducts_cultures
Facebook: Sophyproducts_cultures

Call 0656601523

Mapema Leo Ukumbini SIDO MTWARA kuhitimisha mafunzo ya Usindikaji wa zao la korosho. Sophyproducts tulishiriki mafunzo h...
20/01/2022

Mapema Leo Ukumbini SIDO MTWARA kuhitimisha mafunzo ya Usindikaji wa zao la korosho.

Sophyproducts tulishiriki mafunzo haya nawashukiru sana Sido kushirikiana na CUSO kuleta program hii Mtwara naamini imetusaidia sana wajasiliamali.

Sophyproducts tumeaminiwa na SIDO MTWARA Sasa ni wasindikaji Halali wa bidhaa za korosho.

Nakaribisha oda zenu wateja wangu wa mikoa yote tunapokea oda zenu jumla na rejereja tunatuma mikoa yote Kwa uamunifu mkubwa.

Ofisi zetu tunapatikana Mtwara Rahaleo Complex Ground floor

Call: 0656601523

17/04/2021

To promote our product through social network
To deliver quickly order to our customers
To prepare daily sales report

Jana tulifanikiwa kutoa huduma ya kwanza viwanja vya TTC Ualimu Mtwara kwenye mashindano ya vyuo vya ualimu kitaifa, tuk...
06/12/2019

Jana tulifanikiwa kutoa huduma ya kwanza viwanja vya TTC Ualimu Mtwara kwenye mashindano ya vyuo vya ualimu kitaifa, tukishirikiana na Team ya Redcross Mtwara zoezi hili litakuwa la siku tano. Nawashukuru sana team yangu Bursa Clinic kwa ushirikiano wenu bila kuwasahau team ya Redcross Mtwara kwa ushirikiano wenu. # @ Mtwara Gas City

Jipatie bidhaa zetu Nguo na culture na Asali kupitia 0656601523. Karibu udamshi na bidhaa za sophyproduct @ Mtwara Munic...
24/10/2019

Jipatie bidhaa zetu Nguo na culture na Asali kupitia 0656601523. Karibu udamshi na bidhaa za sophyproduct @ Mtwara Municipal

Address

Mtwara Mikindani
Mtwara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sophyproduct posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share